Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisei nimekutafuta sana mke wangu mkubwa masai dada mtafute mke mwenzio Mzigua90 ujitambulishe na umwambie akuheshimu eti na mpendane kama mapacha.Kwa mfano mahindi kuyanunua na kuyahifadhi kusubiria bei iwe nzuri alafu unayauza baadae,naomba muongozokwa aliyewahi ifanya
Ok bas imepanda coz mm kipind hicho ilikua super 1200/= japo hata 950/= ilikuwepo but haukuwa mchele mzur sanaNiko mtimbira sasa hv,Jana nlibahatisha kwa iyo Bei km kilo 200 hv ila kwa madalali sasa hv 1300 super kwa kilo.
Soko linayumba sana sasa hivi sana,watu wenye stock za mpunga sijui zitakuaje?Ok bas imepanda coz mm kipind hicho ilikua super 1200/= japo hata 950/= ilikuwepo but haukuwa mchele mzur sana
Daah sjui itakuwajee coz nilichukua stock yang kias fulan nasubir bei ipande mwez wa 12 ili niisukume sokonSoko linayumba sana sasa hivi sana,watu wenye stock za mpunga sijui zitakuajee!??
Toa maelezo kidogo hizo korosho unachukua sehemu gani? Unachukuliwa kwa bei gani kwa kilo, usafirishaji na ushuru ukoje? Na zinapelekwa kuuzwa wapi? Na kwa bei ganibro kama una mtaji mzuri nenda sasa kusni msimu wa korosho umeanza kanunue korosho hutojutia hela yako amini nakwambia
Toa maelezo kidogo hizo korosho unachukua sehemu gani? Unachukuliwa kwa bei gani kwa kilo, usafirishaji na ushuru ukoje? Na zinapelekwa kuuzwa wapi? Na kwa bei gani
Mpunga haushukaki bei Mara zote ni kupanda kidogo, kupanda sana au kusimama. Unasimama hasa December na march mwishoni.Soko linayumba sana sasa hivi sana,watu wenye stock za mpunga sijui zitakuajee!??
Yeah ni kwelii mkuuMpunga haushukaki bei Mara zote ni kupanda kidogo, kupanda sana au kusimama. Unasimama hasa December na march mwishoni.
Hapa ndo ninapochokaga tu saa nyingine huwa nawaza nilipo maliza 4m 6 ningeanza mishe za kutafutaHabari zenu wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 28, nina shahada ya kwanza kutoka chuo kikuu (SUA). Ni hivi tangu nilipomaliza chuo nimeangaika huku na kule kutafuta kazi sehemu mbalimbali pasipo na mafanikio yoyote yale, ila bado sijakata tamaa naendelea kutafuta pamoja na changamoto ninazopitia. Kutokana na muda unazidi kwenda na ajira bado ni ngumu nimepata wazo la kufanya biashara huku nikiendelea kutafuta ajira kuliko kukaa na kusubiria naona nitazidi kupoteza muda zaidi. Kwenye wazo langu hilo la biashara nina kiasi kidogo cha fedha cha Tsh.300,000/= kama mtaji na nimeamua kufanya biashara mojawapo kati ya hizi zifuatazo nafaka, mihogo jumla na rejareja, nazi, maharage n.k ili niweze kupata fedha za kijikimu maana muda unakwenda na hali ni mbaya kwangu.
Kwahiyo kutokana na mawazo hayo juu,pamoja na kiasi hicho kidogo cha mtaji nilichonacho bado nina changamoto zifuatazo, sina mahali pakufanyia biashara, pia sina uzoefu na hizo biashara kwa maana sijawahi kufanya biashara yoyote hapo kabla ni mawazo tu nimeyapata baada ya kuona hali ni ngumu, kwahiyo naombeni ushauri wenu jamani nifanyeje ili niweze kujikwamua kiuchumi pamoja na changamoto hizo. Mimi nipo DSM na namba zangu hizi 0758 106 501, kwa yoyote yule mwenye kutaka kunisaidia usisite kunitafuta pamoja na yote hayo mimi ni muaminifu na mnyenyekevu.
Ahsanteni sana na MUNGU atawabariki!
Nimesomea food science and technology nipo DSM, mbagala.umesomea course gani hapo sua,unataka kufanya kazi wapi(location) au unapoishi kwa sasa,tuanzie hapo