KAJOKELA
Senior Member
- Jul 3, 2018
- 155
- 74
Mbona bei nzuri,kuna maeneo fulani mahindi yanauzwa 8000Juzi nimepigiwa simu kuwa mahindi debe moja ni Tsh 4000 kijijini kwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona bei nzuri,kuna maeneo fulani mahindi yanauzwa 8000Juzi nimepigiwa simu kuwa mahindi debe moja ni Tsh 4000 kijijini kwetu.
Huu unaweza kuwa ni mwaka wa njaa.
Baada ya kuwepo kwa over supply ya mahindi mwaka jana hivyo kupelekea kuporomoka kwa bei, mwaka huu unaweza kuwa ni wa neema kwa wafanya biashara ya mahindi.
Kama una milioni kumi haina kazi, nunua mahindi sasa uyahifadhi. Unaweza ukaja kuyauza hata kwa milioni 20 mbele ya safari.
Huku kwenye Kangomba ya mahindi ni clean business. Mkono wa dola haufiki huku. Kazi kwenu wasaka fursa.
kwani bado hana kitambulisho ya mjasiriamali,kwanini asitembee mjini kifua mbere... ni hatari kufanya hivyo Mkuu. Huko mbeleni TRA hawakawii kukuvamia na kutaifisha.
Mwaka huu mahindi yatatabirika!Mahindi hayatabiriki,mi week hii nimennunua maharage ya 4m.,debe moja 20,000/-kabla ya mwez wa tano katikati na uhakika nauza debe 25k-28k.Nakuja kununua mengine mwezi wa 7 nauza wa 11.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu unaweza kuwa ni mwaka wa njaa.
Baada ya kuwepo kwa over supply ya mahindi mwaka jana hivyo kupelekea kuporomoka kwa bei, mwaka huu unaweza kuwa ni wa neema kwa wafanya biashara ya mahindi.
Kama una milioni kumi haina kazi, nunua mahindi sasa uyahifadhi. Unaweza ukaja kuyauza hata kwa milioni 20 mbele ya safari.
Huku kwenye Kangomba ya mahindi ni clean business. Mkono wa dola haufiki huku. Kazi kwenu wasaka fursa.
Mkuu unapokuwa na sera za nchi ambazo ziko so dynamic, tahadhari ni muhimu. Kama jamaa ana shamba aendelee na mpango wa kuwekeza mil 10.Naona mawazo ya wengi humu ni ya kiwoga woga.... Hahaaaa Won't you think about it becomes!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka kuning'ing'iza kitambulisho cha elf 20 au leseni unapopeleka kuuzaHuu unaweza kuwa ni mwaka wa njaa.
Baada ya kuwepo kwa over supply ya mahindi mwaka jana hivyo kupelekea kuporomoka kwa bei, mwaka huu unaweza kuwa ni wa neema kwa wafanya biashara ya mahindi.
Kama una milioni kumi haina kazi, nunua mahindi sasa uyahifadhi. Unaweza ukaja kuyauza hata kwa milioni 20 mbele ya safari.
Huku kwenye Kangomba ya mahindi ni clean business. Mkono wa dola haufiki huku. Kazi kwenu wasaka fursa.
Utatakiwa uonyeshe shamba kama walivyotakiwa wa korosho mkuuHuu unaweza kuwa ni mwaka wa njaa.
Baada ya kuwepo kwa over supply ya mahindi mwaka jana hivyo kupelekea kuporomoka kwa bei, mwaka huu unaweza kuwa ni wa neema kwa wafanya biashara ya mahindi.
Kama una milioni kumi haina kazi, nunua mahindi sasa uyahifadhi. Unaweza ukaja kuyauza hata kwa milioni 20 mbele ya safari.
Huku kwenye Kangomba ya mahindi ni clean business. Mkono wa dola haufiki huku. Kazi kwenu wasaka fursa.
Wewe unaishi Tanzania mkuu?Huu unaweza kuwa ni mwaka wa njaa.
Baada ya kuwepo kwa over supply ya mahindi mwaka jana hivyo kupelekea kuporomoka kwa bei, mwaka huu unaweza kuwa ni wa neema kwa wafanya biashara ya mahindi.
Kama una milioni kumi haina kazi, nunua mahindi sasa uyahifadhi. Unaweza ukaja kuyauza hata kwa milioni 20 mbele ya safari.
Huku kwenye Kangomba ya mahindi ni clean business. Mkono wa dola haufiki huku. Kazi kwenu wasaka fursa.
Mkuu Huu woga wa waTz ndo hugeuka kuwa opportunity kwa wageni kuwekeza sehemu ambayo wengi tunaogopa km hiviMkuu unapokuwa na sera za nchi ambazo ziko so dynamic, tahadhari ni muhimu. Kama jamaa ana shamba aendelee na mpango wa kuwekeza mil 10.
usijaribu ata kidogo..utakuja kulia maana jamaa watakuja hadi na bunduki kwenye ghala kuwa umeficha chakula..ila kama utanunua kwa milioni 20 alafu wakati wa njaa ukayatoa sadaka kwa milioni 15 hakika watakupa zawadi wakati wa siku za neemaHuu unaweza kuwa ni mwaka wa njaa.
Baada ya kuwepo kwa over supply ya mahindi mwaka jana hivyo kupelekea kuporomoka kwa bei, mwaka huu unaweza kuwa ni wa neema kwa wafanya biashara ya mahindi.
Kama una milioni kumi haina kazi, nunua mahindi sasa uyahifadhi. Unaweza ukaja kuyauza hata kwa milioni 20 mbele ya safari.
Huku kwenye Kangomba ya mahindi ni clean business. Mkono wa dola haufiki huku. Kazi kwenu wasaka fursa.
Mkuu sina tatizo na wazo la mjumbe kabisa. Its fantastic idea. Tatizo huchelewi kuulizwa shamba na wenye mamlaka. Kuna msemo kuwa wasiwasi ni akili na kunguru mwoga............. Ila hoja ni nzuri kabisa.Mkuu Huu woga wa waTz ndo hugeuka kuwa opportunity kwa wageni kuwekeza sehemu ambayo wengi tunaogopa km hivi
Wazo la Mkuu hapo juu ni zuri sana na sio lazima mtu uwe na 10ml. ndo uwekeze ata mtaji mdogo unaeza fanya hivo ukazalisha ata mara mbili ya mtaji wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani uwe na mtaji wa milioni kumi ya kununua mahindi halafu uning'inize kitambusho cha 20,000/=? Labda hicho kitambulisho ukining'inize kwenye pumbu kisionekane lakini kama ni kifuani utaishia tu kuwachekesha TRA.Kumbuka kuning'ing'iza kitambulisho cha elf 20 au leseni unapopeleka kuuza