Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Ndugu yangu pole;

Uko sahihi kuumia na kushangaa nchi yetu inaenda wapi hasa kutokana na ukweli kwamba muda unaenda na huoni matumaini yoyote.

Mimi huwa naamini kwamba kila jambo lina sababu na kwamba ukiona mipango yako haiendi kama ulivotarajia usife moyo.Hatua uliyochukua ni nzuri kuleta mkasa wako hapa JF.Kwa umri wako nakushauri unitafute PM nikupe idea flani ili hakikisha una mtazamo chanya.Idea hii haitakuhitaji kutumia hio laki tatu yako lakini inaweza kukupa mwanga wa uelekeo wa maisha yako.
Unataka umuingize kwenye forever living na oriflame!
 
Ni kweli nikiiweka hapa wengi watapa ideas.Ila sio kila Idea ikiwekwa hapa itasaidi mtu.Hata uko PM akija sitampa idea.Nimeshamtafuta kwa simu Tayari na tutaonana,tuzungumze kama akiwa tayari basi atayaona mema ya nchi.Karibu PM

sawa sawa kila la heri
 
Nimesomea food science and technology nipo DSM, mbagala.
ushauri wangu hebu kaa chini tena tafakari what you can do within you professional,unajenga uwezo ndani ya miaka 3 halafu utoke uende kwenye fani nyingine mimi naona ni waste of resource mimi naamini itakuwa na uwezo mkubwa ndani ya fani yako,buni Anza na kitu kidogo sana uta grow polepole .
 
Food science and technology business ideas
1.Hebu fikiria biashara ya kuoka mikate
2.Hebu andika kitabu kidogo juu jambo fulani ukishauri kama mtaalamu halafu uza jalida hilo
3.anzisha darasa la mapishi kasajiri veta wewe ni mtaalamu
4.
 
ushauri wangu hebu kaa chini tena tafakari what you can do within you professional,unajenga uwezo ndani ya miaka 3 halafu utoke uende kwenye fani nyingine mimi naona ni waste of resource mimi naamini itakuwa na uwezo mkubwa ndani ya fani yako,buni Anza na kitu kidogo sana uta grow polepole .

Ni kweli. Kuna vijana wamemaliza hapa sua. Kuna waziri fulan amewapa ardhi kubwa huko moro vijijin. Na mtaji
huyu awatafute wenzake waungane. Watatoka tu.
 
Ndugu yangu pole;
Uko sahihi kuumia na kushangaa nchi yetu inaenda wapi hasa kutokana na ukweli kwamba muda unaenda na huoni matumaini yoyote.

Mimi huwa naamini kwamba kila jambo lina sababu na kwamba ukiona mipango yako haiendi kama ulivotarajia usife moyo.Hatua uliyochukua ni nzuri kuleta mkasa wako hapa JF.Kwa umri wako nakushauri unitafute PM nikupe idea flani ili hakikisha una mtazamo chanya.Idea hii haitakuhitaji kutumia hio laki tatu yako lakini inaweza kukupa mwanga wa uelekeo wa maisha yako.
Nchi haiendi, wanaenda watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu unaweza kuwa ni mwaka wa njaa.

Baada ya kuwepo kwa over supply ya mahindi mwaka jana hivyo kupelekea kuporomoka kwa bei, mwaka huu unaweza kuwa ni wa neema kwa wafanya biashara ya mahindi.

Kama una milioni kumi haina kazi, nunua mahindi sasa uyahifadhi. Unaweza ukaja kuyauza hata kwa milioni 20 mbele ya safari.

Huku kwenye Kangomba ya mahindi ni clean business. Mkono wa dola haufiki huku. Kazi kwenu wasaka fursa.
 
Back
Top Bottom