Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Kilimo ni kama betting!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitambulisho cha elfu 20 kwa mtaji wa milioni kumi?Kumbuka kuning'ing'iza kitambulisho cha elf 20 au leseni unapopeleka kuuza
Huu unaweza kuwa ni mwaka wa njaa.
Baada ya kuwepo kwa over supply ya mahindi mwaka jana hivyo kupelekea kuporomoka kwa bei, mwaka huu unaweza kuwa ni wa neema kwa wafanya biashara ya mahindi.
Kama una milioni kumi haina kazi, nunua mahindi sasa uyahifadhi. Unaweza ukaja kuyauza hata kwa milioni 20 mbele ya safari.
Huku kwenye Kangomba ya mahindi ni clean business. Mkono wa dola haufiki huku. Kazi kwenu wasaka fursa.
Kama zipi mkuu .??Mishe za pesa mingi kwa muda mfupi zipo ni wewe kuamua tu..
Mtaji wa laki 3-5 leo hii unaweza kuukuza hadi million 2-3 au zaidi ndani ya miezi miwili...
Hapa ndio mawazo ya biashara yaliko lala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenu wap mkuuJuzi nimepigiwa simu kuwa mahindi debe moja ni Tsh 4000 kijijini kwetu.
Ukiwa na muda, naomba unieleweshe hicho kisa kutaifisha sukari.Wewe unaishi Tanzania mkuu?
Hukuona sukari ilivyotaifishwa kile kipindi !
Hii awamu sio ya kuwekeza pesa, ukiwekeza jiandae kwa lolote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu unaweza kuwa ni mwaka wa njaa.
Baada ya kuwepo kwa over supply ya mahindi mwaka jana hivyo kupelekea kuporomoka kwa bei, mwaka huu unaweza kuwa ni wa neema kwa wafanya biashara ya mahindi.
Kama una milioni kumi haina kazi, nunua mahindi sasa uyahifadhi. Unaweza ukaja kuyauza hata kwa milioni 20 mbele ya safari.
Huku kwenye Kangomba ya mahindi ni clean business. Mkono wa dola haufiki huku. Kazi kwenu wasaka fursa.
Juzi nimepigiwa simu kuwa mahindi debe moja ni Tsh 4000 kijijini kwetu.
Kwa hii serikali hali ikiwa mbaya jeshi litaingizwa kuyatafuta yalipo na utanyang'anywa mahindi yako bila kujali cost uliyoingia ogopa sana sera za nchi zinapokuwa unpredictable
Serikali haiwezi taifisha mahindi ya mtu, ila wasiwasi ni kwamba kwa sasa serikali ina hifadhiu kubwa sana ya chakula hasa mahindi, kwa vyovyote vile mahindi yakipanda bei ,serikali inaweza fungulia magala yake na kushusha bei ya mahindi ko mfanyabiashara faida inakuwa kidogo. maana watu watanunua mahindi ya serikali amabapo pia baadhi ya maeneo yaweza kugawiwa bure.Hamjajifunza tu kwenye korosho. We Nunua utakapoambiwa uonyeshe shamba utaleta mrejesho...
Sent using Jamii Forums mobile app