Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Mbona hujaongelea storage costs. Kijana anajua hela unavuna easy easy tu ?? Hahaha

Utakula hasara kijana uje ule na ma.vi yako.

Ajira ni bora kuliko biashara kama huna mtaji wa atleast 100+ Million na kuendelea
ukiwa nA mindset kama hii utakuja kujenga nyumba kwa kusubiri pension yaan haya mawazo n madogo sana asee kama ndo hvo basi hii nchi isingekuwa na wafanyabiashara[emoji41]
 
Umeandika nlichotaka kuandika mimi.
 
ukiwa nA mindset kama hii utakuja kujenga nyumba kwa kusubiri pension yaan haya mawazo n madogo sana asee kama ndo hvo basi hii nchi isingekuwa na wafanyabiashara[emoji41]

Babu mimi nina nyumba tena sio moja na biashara kubwa tu...naongelea biashara ya jumla (daily consumed commodities) kila siku lazima niuze.

Achilia mbali hustle zingine za kifamilia.

No one z criticizing anyone nor am i negative minded...isipokua jamaa yako huyo mleta mada ana generalise sana. Hajasema kuhusu storage costs, hajaongelea swala la ushuru, madalali etc.

Brother Plz 🤣🤣🤣
 
“Ajira ni bora kuliko biashara kama hauna mtaji wa 100+”

Elezea hii.

Bro kama hujawahi hustle na vi business vya kitaa huwezi nielewa au unaweza sema siko serious na life.

I’ve done pass all that..as i speak nina biz kubwa tu tena ya wholesale..

Biashara zina mambo mengi sana, Kwa mtu anayetaka kutoboa in a big way mimi kama
mimi binafsi nashauri atafute capital atleast isiyopungua 100+ million (Thats if mtu huyo ana plan kufanya any type of trading biz)

Kwa capital hyo any trading biz lazima utatoboa..ila sijui una 5M au 10 M utapata hela ndio ila ya kubadili mboga tu.

Ila kama nina elimu yangu nzuri average salary nipate between 1 M to 3M au mpaka 5M kwa mwezi nibora niajiriwe kwa atleast 3 years ni make hela then nizame kitaa na capital.

Maana yake kama hela huna possibly likely hata collateral mtu hana. Ya dig ??
 
Arusha gunia la debe sita ni 120,000/=
Hiyo bei inapatikana soko gani?
Kwaio mkuu hizo hustle zako mtaji wake ni m 100+...
 
Ungekuwa umepitia hizo biznez za kitaa usingekuwa na maneno ya kuvunja moyo namna hii, watu tunatoka background tofauti kiuchumi

Unasema biz ya 10m ni kutafuta hela ya mboga at the same time unasema ni bora huyo mtu aajiriwe alipwe 1m kwa mwezi, bro are you serious!!! Ni akili zako au unafanya kusudi hahahahah

Ktk nafaka ukiwa smart enough ukatengeneza network nzuri hiyo 10m kwa mwezi unatengeneza si chini ya 3-4m minimum na ktk biznez profit growth its exponential growth mzee ikiwa umejenga network nzuri and sharp to diversify with time and market. Are you, you?? Or it's other kiduku lilo in his drama

Ikiwa ulianza juu ukafanya finishing na kuingia ndani wapo waliolipa gharama za kujenga msingi hadi hapo ulipoukutia vijana lazima tujifunze kufanya mambo madogo ktk mtazamo wa kufikia hayo makubwa lazima tulipe gharama za watoto wetu kwa kuwajengea misingi sasa
 
Business is unpredictable,si mama unavyofkr,hjaweka hela ya package,ya kushusha na kpandisha,ya madalali,na ushuru.pia competition n anytime can arise into a market kwa tegemea lolote
 
ukisikia mtu kakupa fursa usikae ukaanza kubishana sana ni wakati wa kuiangalia maana si kila jambo utasoma hapa ukajitumbukiza ka mjinga, unachukulia ka fursa unafanya utafiti wa kina unalinganisha bei ya kununulia yakuuzia na gharama nyingine zote pia pasipo kusahau hela ya hadhari. baada ya hapo unaona ufanye nini
Bei ya mahindi kwasasa ipo juu na ni baada ya mipaka kuwa wazi, kima cha faida alichokitoa mtoa mada kinaweza kisifike kutokana na baadhi ya gharama ambazo zipo wazi ila hakuziorodhesha. ila faida nzuri ipo maana baadhi ya maeneo hasa mahindi yanalimwa kwa wingi mahindi bei yake ni kwanzia 40 000/= mpaka 60 000/= kwahiyo si mbaya tukichukulia hii ka fursa hasa watu wa biashara za msimu
 
hyo bei ni mkoa gan
 
ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…