Kupitia kwa motivational speaker!Kilimo cha whatsap hicho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupitia kwa motivational speaker!Kilimo cha whatsap hicho.
ndo ktu gan hcho mkuuMahindi ya manyara Yana aflatoxin Kama zote
ukiwa nA mindset kama hii utakuja kujenga nyumba kwa kusubiri pension yaan haya mawazo n madogo sana asee kama ndo hvo basi hii nchi isingekuwa na wafanyabiashara[emoji41]Mbona hujaongelea storage costs. Kijana anajua hela unavuna easy easy tu ?? Hahaha
Utakula hasara kijana uje ule na ma.vi yako.
Ajira ni bora kuliko biashara kama huna mtaji wa atleast 100+ Million na kuendelea
yaan jamaa kaongea ktu ambacho kitasababisha kuwa mtumwwa milele kama akiendelea kuamin katika ajiraAliekuajiri angekuwa na mtazamo kama wako unadhani leo ungekuwa na jeuri ya kusema ajira ni bora kuliko biashara?
Aisee sio kwel kabisa Songea hata uende kijiji gan Gunia la kg 120 sio chini ya 60000 hiyo 40 ni wp? Usiingize watu hasara kwa taarifa za uongo bwanaUkienda songea wala huhitaj kukusanya, unayapakia tu, gunia moka 40,000 hata ukitaka gunia 1000
Watz tuna ttzo always mtu hutafuta kikwazo na blah blah kibao mara gharama za mfuko, vibega, sijui ushuru n.k Yaan ukimueleza mtz fursa fulani atakupa sababu elfu za kukutisha usichukue hatua no matter uhalisia ukoje
Ambapo kwa hesabu za kijasi hizo sio gharama za kuogopa ikiwa hata gunia la kg 100 utanunua elfu 60 pigia na elfu 20 ya gharama zote kwa kila gunia lifike kwa mnunuzi kwa elfu 80 then ubakiwe na 20 kwa kila gunia hasara iko wapi? Na kiukweli kwa sasa kupata mahindi tani 10 sio jambo la kuchukua wiki moja
Hapo angalizo la muhimu na ambalo ni changamoto kuu ni kuwa na connection ya mteja basi usilogwe upeleke mzigo bila kuwa na mteja kwanza the rest ni sawa na kumsukuma mlevi
ukiwa nA mindset kama hii utakuja kujenga nyumba kwa kusubiri pension yaan haya mawazo n madogo sana asee kama ndo hvo basi hii nchi isingekuwa na wafanyabiashara[emoji41]
“Ajira ni bora kuliko biashara kama hauna mtaji wa 100+”
Elezea hii.
Hiyo bei inapatikana soko gani?Arusha gunia la debe sita ni 120,000/=
Kwaio mkuu hizo hustle zako mtaji wake ni m 100+...Babu mimi nina nyumba tena sio moja na biashara kubwa tu...naongelea biashara ya jumla (daily consumed commodities) kila siku lazima niuze.
Achilia mbali hustle zingine za kifamilia.
No one z criticizing anyone nor am i negative minded...isipokua jamaa yako huyo mleta mada ana generalise sana. Hajasema kuhusu storage costs, hajaongelea swala la ushuru, madalali etc.
Brother Plz 🤣🤣🤣
Ungekuwa umepitia hizo biznez za kitaa usingekuwa na maneno ya kuvunja moyo namna hii, watu tunatoka background tofauti kiuchumiBro kama hujawahi hustle na vi business vya kitaa huwezi nielewa au unaweza sema siko serious na life.
I’ve done pass all that..as i speak nina biz kubwa tu tena ya wholesale..
Biashara zina mambo mengi sana, Kwa mtu anayetaka kutoboa in a big way mimi kama
mimi binafsi nashauri atafute capital atleast isiyopungua 100+ million (Thats if mtu huyo ana plan kufanya any type of trading biz)
Kwa capital hyo any trading biz lazima utatoboa..ila sijui una 5M au 10 M utapata hela ndio ila ya kubadili mboga tu.
Ila kama nina elimu yangu nzuri average salary nipate between 1 M to 3M au mpaka 5M kwa mwezi nibora niajiriwe kwa atleast 3 years ni make hela then nizame kitaa na capital.
Maana yake kama hela huna possibly likely hata collateral mtu hana. Ya dig ??
Business is unpredictable,si mama unavyofkr,hjaweka hela ya package,ya kushusha na kpandisha,ya madalali,na ushuru.pia competition n anytime can arise into a market kwa tegemea loloteBei ya mahindi leo. Singida gunia la kilo 100 linauzwa 54000.
Arusha au manyara gunia hilo hilo linauzwa 100,000.
Nikichukua gunia 100 za mahindi singida nitatoa 5.4M. Usafirishaji kwa gunia moja ni 5000 hadi manyara. Kwa gunia 100 nitalipa 500,000 usafiri. Hapo sasa natakiwa kuwa na 5.9M
Nikienda kuuza gunia 100 manyara kwa bei ya 100,000 kila gunia nitapata jumla ya 10M. Nikitoa gharama za usafirishaji na hela ya mtaji nitabakiwa na jumla ya shilingi 4.1M.
Net profit hapa ni 4.1M.
Kazi hii naweza kuifanya ndani ya wiki moja kuanzia kukusanya magunia singida hadi kuyapeleka kuyauza manyara.
................................................................
Oya mwenye 5.9M ya haraka hapo aingie chimbo akapige hiyo hela. Faida ya milioni 4 ndani ya wiki moja sio hela kidogo. Hii ishu ni uhakika, hata kama hutapata hiyo 4M huwezi kukosa hata 2M.
Ngoja niendelee kujichanga kamtaji kakue nikapige hiyo hela.
Jioni njema.
Huu ushauri ni wa kupuuzwaMbona hujaongelea storage costs. Kijana anajua hela unavuna easy easy tu ?? Hahaha
Utakula hasara kijana uje ule na ma.vi yako.
Ajira ni bora kuliko biashara kama huna mtaji wa atleast 100+ Million na kuendelea
Endeleeni kuponda na kutafta negative watu tupo barabaran tunayapeleka manyara.
Mtoa mada asante sana
hyo bei ni mkoa ganukisikia mtu kakupa fursa usikae ukaanza kubishana sana ni wakati wa kuiangalia maana si kila jambo utasoma hapa ukajitumbukiza ka mjinga, unachukulia ka fursa unafanya utafiti wa kina unalinganisha bei ya kununulia yakuuzia na gharama nyingine zote pia pasipo kusahau hela ya hadhari. baada ya hapo unaona ufanye nini
Bei ya mahindi kwasasa ipo juu na ni baada ya mipaka kuwa wazi, kima cha faida alichokitoa mtoa mada kinaweza kisifike kutokana na baadhi ya gharama ambazo zipo wazi ila hakuziorodhesha. ila faida nzuri ipo maana baadhi ya maeneo hasa mahindi yanalimwa kwa wingi mahindi bei yake ni kwanzia 40 000/= mpaka 60 000/= kwahiyo si mbaya tukichukulia hii ka fursa hasa watu wa biashara za msimu
okBabu mimi nina nyumba tena sio moja na biashara kubwa tu...naongelea biashara ya jumla (daily consumed commodities) kila siku lazima niuze.
Achilia mbali hustle zingine za kifamilia.
No one z criticizing anyone nor am i negative minded...isipokua jamaa yako huyo mleta mada ana generalise sana. Hajasema kuhusu storage costs, hajaongelea swala la ushuru, madalali etc.
Brother Plz [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
uko sahh kabisaHuu ushauri ni wa kupuuzwa