MC RAS PAROKO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 623
- 606
Unatusaidia na wengine mkuu mwaga Nondo hapa tufaidike sote kaka.Mkuu uko wapi kwa sasa biashara ya mazao inatakiwa uende na msimu ...kwa sasa ni msimu wa maharage ya ukanda wa mbulu kwa watu wa Arusha wanaelewa ..kununua na kuweka stoo ni kamari bei inaweza kushuka kuliko hata uliyonunulia pia inafanywa na watu wenye mitaji mikubwa
Wajanja wa mazao wanaenda na msimu pia unaweza ukaweka stoke ikakutana na msimu mwingine hapo tayari umeingia cha kike.kama uko pande za Arusha tembelea mbauda kupata maelekezo zaidi
Kuanzia m8 hiviMkuu unapanga kuwa na stock ya kuanzia gunia ngapi?
Kama utakuwa mzigo wa kawaida nunua na kuuuza.
Unaweza kujiunga na earmoney ambayo itakusaidia kuingiza kipato wakati huu wa karantini tembelea link ifuatayo kujiungaWandugu poleni na mihangaiko ya kila siku hususani katika kipindi hiki cha janga la Corona.
Moja kwa moja nije kwenye mada, mwaka jana nilijikita sana kwenye biashara ya zao la mpunga yaani nilikuwa nalima na kununua ila biashara inakua ngumu kidogo kulingana na bei inayokuwa sokoni kwa muda huo...
Ni biashara nzuri na inaweza ikakuinua ila ni lazima utafute zao ambalo utalimudu kwa mtaji wako na network uliyo nayo.Ikiwa hutaki kuweka stock na kusubiri bei ipande basi unataka jambo la kwanza uwe na soko la uhakika (usitegemee madalali wa Dar).Wandugu poleni na mihangaiko ya kila siku hususani katika kipindi hiki cha janga la Corona.
Moja kwa moja nije kwenye mada, mwaka jana nilijikita sana kwenye biashara ya zao la mpunga yaani nilikuwa nalima na kununua ila biashara inakua ngumu kidogo kulingana na bei inayokuwa sokoni kwa muda huo...
Brother umeongea point sana hasa hiyo ya soko. Maana unaweza nunua mzigo mwingi halafu hujui umuuzie nani? Dah imenipa kigugumizi sana hiyo.Ni biashara nzuri na inaweza ikakuinua ila ni lazima utafute zao ambalo utalimudu kwa mtaji wako na network uliyo nayo.Ikiwa hutaki kuweka stock na kusubiri bei ipande basi unataka jambo la kwanza uwe na soko la uhakika (usitegemee madalali wa Dar)...
Njoo pm mkuu tuyajenge. Ninatafuta ajira hiyo, niko kijijini. Usalama wa pesa zako ni 100%. Utaamua wewe aina ya mkataba wa kazi.Wandugu poleni na mihangaiko ya kila siku hususani katika kipindi hiki cha janga la Corona.
Moja kwa moja nije kwenye mada, mwaka jana nilijikita sana kwenye biashara ya zao la mpunga yaani nilikuwa nalima na kununua ila biashara inakua ngumu kidogo kulingana na bei inayokuwa sokoni kwa muda huo...
Kampuni gani hiyo ya kenya mkuu?Bhbm,
Mkuu mimi c pingani na wewe but nataka kukushauri jambo moja,
- katika swala zima la biashara ya nafaka ni bora ukajikita katika ku ad value au kuongeza thamani ya hizo nafaka.
1. Ni bora ukawa na ofisi yako mjini na jaribu kuyaongezea thamani hayo mazo kama vile kugred na kupark kabisa. Hapo utakuwa umeongeza thamani na utauza kwa bei ya juu, na unaweza tafuta hata supermaket tano tu za kuwa sambazia...
Kuwa supplier ni vizuri sana Ila wengi wamedhulumiwa mnooooo kuwa makini wengine mzigo unapeleka vizuri kwenye kulipana Sasa ndo kimbembe.Mkuu "Chasha Poultry Farm" nimekuwa nikifatilia comments zako nyingi kwenye threads tofauti kwa kweli una mitazamo ya tofauti, kisomi na kimapinduzi zaidi kwenye tasnia nzima ya ujasiriamili na biashara Tanzania, binafsi nimekuwa insipired sana na miongozo yako mbalimbali, Mungu akubariki.
Value addition is very important in every things we do as entrepreneur and business men, watanzania umefika wakati tutoke kwenye mbinu za ujima za kibiashara. Mkuu big up sana...
ππππππππUnaweza kujiunga na earmoney ambayo itakusaidia kuingiza kipato wakati huu wa karantini tembelea link ifuatayo kujiunga
Viewing payed advertising sites eenmoney.xyz - Welcome!
Asante sana mkuuBiashara ya nafaka kwa wewe mwenye mtaji mkubwa,nibora kuwa na ghala la kuifadhi mazoa,unawalangua wakulima kupindi cha mavuno alafu unayaifadhi vuzuri unasubiri mda soko likiwa juu ndio unaanza kuuza utaona faida itakavyokuja mara 3.
Changamoto ni gharama za kuifadhi nafaka,nyingine kuyumba kwa soko la nafaka huwa unaeza kuifadhi maindi mda bei ikapanda ukichelewa ukiwa mzito kwenye maamuzi yanaeza kushuka ghafla ukapata hasara
UmeyajuajeπππMkuu....
Pole sana kwa matatizo unayo yapitia.