MC RAS PAROKO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 623
- 606
Unatusaidia na wengine mkuu mwaga Nondo hapa tufaidike sote kaka.Mkuu uko wapi kwa sasa biashara ya mazao inatakiwa uende na msimu ...kwa sasa ni msimu wa maharage ya ukanda wa mbulu kwa watu wa Arusha wanaelewa ..kununua na kuweka stoo ni kamari bei inaweza kushuka kuliko hata uliyonunulia pia inafanywa na watu wenye mitaji mikubwa
Wajanja wa mazao wanaenda na msimu pia unaweza ukaweka stoke ikakutana na msimu mwingine hapo tayari umeingia cha kike.kama uko pande za Arusha tembelea mbauda kupata maelekezo zaidi