HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Mkuu nitakutafuta natarajia kupita hapo wiki inayoanza kesho, niko interested sanahabari,kwa anayetaka tufanye biashara ya mchele, nipo kahama na nina connection na watu wa malori yanayoenda dar, if ur interested letsjoin hands
Mpunga gunia mnauzaje mdau?Njoo Sumbawanga wadau tupo na mm siyo dalali utapata mzigo
Mchele ukikaa miezi michache tu unaoza.Kama unataka biashara ya mchele, una uwezo wa kuchukua tani ngapi kwa wakati mmoja?
Samahani, haya ni maelezo au swali mkuu? Unataka kujua kama mchele huharibika ndani ya miezi michache tu au unaeleza kuwa mchele huhatibika ndani ya miezi michache.Mchele ukikaa miezi michache tu unaoza.
Mkuu hebu tufanye ni swali, naomba unijulishe muda ambao mchele unaweza kuhifadhiwa bila kuharibika.Samahani, haya ni maelezo au swali mkuu? unataka kujua kama mchele huharibika ndani ya miezi michache tu au unaeleza kuwa mchele huhatibika ndani ya miezi michache.
Mchele una uwezo wa kukaa muda mrefu sana bila kuhatibika japokuwa sijui muda ambao unaweza haribika lakini kwa miezi mitatu, minne hadi sita bado utakuwa poa tu vinginevyo umwagikiwe na maji mbali na hapo hata mwaka unaweza kaa bila kuhatibika. Mpunga hukaa hata zaidi ya miaka 3.Mkuu hebu tufanye ni swali, naomba unijulishe muda ambao mchele unaweza kuhifadhiwa bila kuharibika.
Ok kaka! nimechelewa kujibu coz nilikua kijijini, karibu kakaMkuu nitakutafuta natarajia kupita hapo wiki inayoanza kesho, niko interested sana
Mdau tunashukuru kwa maelezo yako mazuri na ushauri ; kwa hapa dar naweza pata wapi mchele mzuri na bei mzuri ya jumla ili nami nikauze asanteOkay, kama utakuwa poa biashara iko poa sana tena sana hususan kama utakuwa na uwezo wa kufuata au agiza mzigo mkubwa toka Shinyanga, Mbeya au Morogoro au Dodoma. Pia kama uko vizuri zaidi unaweza chukulia hapa mjini (Dar) na kuuza popote unapoona inafaa hata nje ya nchi kama kibali kinaruhusu.
Biashara hii iko poa huwezi jutia japokuwa mwaka huu kidogo kodi zinasumbua kwa mfano Shinyanga vijijini kodi imekuwa kubwa sana (imepanda toka 500 hadi 2000) ndani ya wiki hii halimashauri ilipochukua jukumu la kukusanya kodi yenyewe badala ya mudhabuni kitu ambacho kitapandisha bei ya mchele maradufu na kama itapanda zaidi itapunguza faida kwa mfanyabiashara ya mchele hususani yule mwenye kununua na kuuza mchele badala ya mpunga toka kwa mzalishaji.
Nitakutajia kituo kimoja kiko Mbagala tunashusha mzigo lakini niulizie kwanza kama kuna mchele hapo saivi kwani huwa haukai sana.Mdau tunashukuru kwa maelezo yako mazuri na ushauri ; kwa hapa dar naweza pata wapi mchele mzuri na bei mzuri ya jumla ili nami nikauze asante
Sawa kwa vile naanza hata nikianza na tani 2 yaani kilo 2000 siyo mbaya ili niingie taratibu na kupata uzoefu zaidi; nilikuwa najiandaa kufungua frem niweke hapo nipite kwa maduka ya rejareja na watu binafsi; kwa uzoefu wako ni njia mzuri; au ni vp naweza uza kwa jumla kusave muda hata kwa faida ya kawaida asante 0716 201695Nitakutajia kituo kimoja kiko Mbagala tunashusha mzigo lakini niulizie kwanza kama kuna mchele hapo saivi kwani huwa haukai sana.
Kilo/tani ngapi unahitaji?
Mkuu nimependa uwezo wako wa kuchanganua Hii biashara. Unaweza kunicheck ktk Hii namba ili tuyajenge vyema 0765596933Nitakutajia kituo kimoja kiko Mbagala tunashusha mzigo lakini niulizie kwanza kama kuna mchele hapo saivi kwani huwa haukai sana.
Kilo/tani ngapi unahitaji?
Yaani kaka Maisha ya kuajiriwa ni mazuri unaitwa Mheshimiwa boss lakini ni dhamana watu tunaweka miguu yote kwenye ajira mwisho pesa ya mafao yako mwenzako ndiyo faida yake kwa mwaka! Ukiwa na mtaji na maarifa na Elimu; fursa iliyopo tz na nchi jirani ni kubwa sana tupo almost mil 50 kweli utashindwa kuuza mchele? Acha wachina watumie fursa sisi tumekaa alafu partinership ni mzuri mkiwa na nia moja mnafika mbali ingiwa changamoto hazikosekani ila mkisha zishinda mnateremka kwenye mafanikioNina dada yangu alifeli form 2 mara mbili akaamua kuacha shule akawa anashinda maporini kununulia watu mipunga anapata faida kidogo sasa may nilienda likizo home yaani huyo dadaangu anahela za kumtosha na kashajenga nyumba mm msomi na degree yangu na cpa ila hela alizonazo huyo dadaangu smtyms naona kuajiliwa sio kabisa.
Mkuu tunashukuru maelezo mazuri; nipo dar natamani kufanya hii biashara nina mtaji unaotosha kwa tani 2 kwa sasa; nafikiri ninaangukia kipengere no 4 au 5 ; unanishauri nianze na kipengere gani kati ya hivyo nipo serious nafahamu kuna changamoto najua nitazishinda kwa uvumilivu; ni vzr niwe na frem au niuze kwa jumla asanteBiashara ya mchele ukitaka inaweza fanyika kwa watu wa aina 5.
1. Unakuwa na mashamba yako au yakukodi. Ukalima.ukakoboa.ukaingiza sokoni mwenyewe. Hao ni wachache na wana maeneo makubwa.
2. Wananunua mpunga kwa jumla na wana mashine za kukoboa. Wanahifadhi bei zikipanda wanakoboa na kuingiza mchele sokoni.
3. Wananunua mpunga mashambani na kuhifadhi kwenye magodown/mashine huko maeneo kama ubaruku nk. Bei zikiimarika wanakoboa na kuingiza sokoni ama kwa kuleta wao au kuuzia huko mashine.
4. Wanaenda nunua mchele huko mashine unaokobolewa na kusafirisha kuleta sokoni kama wafanyabiashara wa jumla.
5. Unanunua huku mjini kwa wafanyabiashara wa jumla nawe unauza kwa wenzio. Jumla au rejareja.
We unaulizia na.ngapi upate undani wake na umelenga mbeya? Morogoro? Mchele wa mwanza na shinyanga una soko rwanda na burundi dar haulipi.
Salaam kaka; najiandaa kuingia kwenye hii Biashara kwa msaada wako pls unauzaje kwa maana jumla sokoni au rejareja au unawateja wa jumla kwenye nafaka store uzoefu wako kaka asanteHapo mpka ufanye kwanza research kwa watu wanao Fanya biashara za mikoan but mm huwa nauzia hapahapa na inanilipa ,jpo kuwa mda mwingi nafanya shughuli za kiserikal
Hi brother! Real interested! I always believe in partnership! Hii ndiyo principle ya mafanikio umoja ni nguvu; nipo dar 0716 201695 ni vzr tuwasiliane kwa mazungumzo zaidi asantehabari,kwa anayetaka tufanye biashara ya mchele, nipo kahama na nina connection na watu wa malori yanayoenda dar, if ur interested letsjoin hands
Siyo kweli kabisa tuache negative attitude against women; issue hapa siyo Mani aliyefanikiwa awe mwanamke au mwanaume issue ni aina ya Biashara na mahitaji take kwa maana ya soko na jinsi MTU anavyojituma; wanaume waliofanikiwa wanatoa nini? Au wanawake walioshindwa hawakuwa na chakutoa?Hata siku 1 usidanganyike na mafanikio ya akina dada, wanambinu na mitaji mingi ambayo wewe huwezi, ukivutiwa na hao umepotea mkuu.
Nimechukua namba nitakucheki midaSawa kwa vile naanza hata nikianza na tani 2 yaani kilo 2000 siyo mbaya ili niingie taratibu na kupata uzoefu zaidi; nilikuwa najiandaa kufungua frem niweke hapo nipite kwa maduka ya rejareja na watu binafsi; kwa uzoefu wako ni njia mzuri; au ni vp naweza uza kwa jumla kusave muda hata kwa faida ya kawaida asante 0716 201695
Nitakucheki mida mkuu nimeiona nambaMkuu nimependa uwezo wako wa kuchanganua Hii biashara. Unaweza kunicheck ktk Hii namba ili tuyajenge vyema 0765596933
OkNimechukua namba nitakucheki mida
Maana yangu ilikuwa ni 1 tu, afanye utafti wa kutosha.hicho unachokifikiria kuwa huwa kinawabeba is added advantage to her, lakini wewe me hiyo huna, hiyo sket inaweza kumbeba japo siyakutegemea sana.mwonekano wako unaweza kukubeba ukapata kazi flan flan kakin kutegemea mwonekano tu ni kosa kubwa.Siyo kweli kabisa tuache negative attitude against women; issue hapa siyo Mani aliyefanikiwa awe mwanamke au mwanaume issue ni aina ya Biashara na mahitaji take kwa maana ya soko na jinsi MTU anavyojituma; wanaume waliofanikiwa wanatoa nini? Au wanawake walioshindwa hawakuwa na chakutoa?