Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo Songea mahindi fwaka.nafaka znalipa kwani watu bado wanakula daily. tafuta place yenye watu hata kama sio wengi sana. pia uwe unanunua wakati wa mavuno. me nategemea kuanza next msimu wa mavuno
Njoo haloo utanikutasongea kiongozi. Nategemea kununua wakati wa mavuno.ntafanya ya mahind,maharage na mpunga!
Ulifikia wapi mkuuWanajamvi hope wote mu wazima wa afya njema.
Nataka kufànya biashara ya mazao hasa mahindi na nafaka zingine; lakini kwa kuanzia nataka nianze na mahindi kwanza halafu mtaji ukikua nitaongeza wigo wa mazao mengine.
Ninaomba mnisaidie namna ya kupata mazao huko mikoani ni njia gani zinazotumika ili kuweza kufanikisha kupata mzigo ndani ya muda mfupi na kuuleta Dar?
Pia naomba mnijuze mikoa au wilaya ambazo naweza pata mahindi mengi kwa bei nzuri na ambapo kuna mazao au mahindi ya kutosha ili ukusanyaji uwe wa haraka.
Kuhusu soko kwa hapa Dsm hakuna tatizo kwani nimepata mteja ambaye atachukua. ni mteja wa uhakika kwa hivyo kwa upande wa soko sina tatizo.
Tatizo ni huko mikoani ndio sijui nianzie wapi nimalizie kwa suala zima la ukusanyaji na upatikanaji wa mahindi.
Mtaji wa kuanzia ni 10m nataka kuanza mara moja biashara hii kwa anayejua naomba anisaidie kunielekeza sehemu au mikoa ambayo naweza pata mahindi na pia mbinu za ukusanyaji sbb mi ndio naanza na sio mwenyeji wa biashara hii nahitaji kupata uzoefu kwa wanaofanya au waliokwishakufanya au wanaofahamu.
Thanks in advance
Kwa Sasa bei gani kwa kilo au kisado?Njoo Songea mahindi fwaka.
Lina ukubwa gani momba sehemu gani?Usisumbuke kwenda mpanda nenda mbeya wilaya mpya ya momba kuna shamba zuri la umwagiliaji utapata shamba kwa 100000-150000 (kukodi) ni umwagiliaji 100% ila hakikisha unapata shamba kwenye umwagiliaji
Tumia treni mkuu TAZARAHabari wadau,
Kwa sasa niko Mbeya mjini hivyo nimeona kuna fursa naweza ifanya nataka ninunue mchele Mbeya mjini then niutume Dar kwa ajili ya kwenda kuuzwa.
Hivyo wadau wenye uzoezi na biashara hii wanisaidie kunijuza yafuatayo:
1. Ni wapi naweza pata mchele kwa bei nafuu kwa hapa Mbeya mjini(nimeajiriwa hivyo kwenda nje ya hapa mjini itakuwa vigumu).
2. Njia ya usafiri (nafuu) nitakayotumia kuusafirisha kwenda Dar.
Ni hayo tu.
Kama ulishindwa kuyauza mwezi january hadi april umeumia..sasa hivi mahindi dar es salaam ni tsh 780/=
Weka no sasa mkuuMimi ni mlimaji wa mahindi na pia ninategemea kuwa mzalishaji wa kati wa bidhaa za mahindi. Niko Dodoma na nnazifahamu ABC za biashara ya mahindi hapa.Tuwasiliane
Mkuu biashara ya mpunga ni nzuri ukiifanyia timing!
Mimi nina nunua mpunga napiga stoo!
Halafu mwezi dec - March unaukoboa unauza mchele faida x150%!
kama unaipenda, fanya. hakuna chuo cha uzoefu bali unakuja kutokana na kufanya kazi. kujifunza ni muhimu kwa kila hatua. tafuta taarifa za masoko mara kwa mara/kila siku. kujikwaa na kuanguka kupo but taarifa sahihi zitakuokoa
Upo mjini ama Ifakara?Unaweza ukanunua mpunga.then ukakobolesha mwenyewe.katika machine za Ku grade alafu ukawa unasafirisha na kuuza Michele...iyo ndo inalipa...pana gunia la mpunga utanunua sh 60,000 kukoboa gunia 3,500. Kwa mpunga mkubwa litatoa kilo 70-72.hivyo kama una mtaji Wa laki sita utapata gunia 10,ambazo ukikoboa..utapata kilo 700-720...kwa kilo utauza sh 2000,,hivyo utakuwa na income ya sh.1,400,000..karbu morogoro.
Kilo tsh. 490 mpaka 500Kwa Sasa bei gani kwa kilo au kisado?
Mahindi nipo hapa kama unahitaji kununuaNahitaji wadau wa mazao yafuatayo 1.karanga.2.mahindi.3.maharage.4.unga wasembe na Dona .5.ngano na ulezi nipo mkoa wa songwe
Mkuu nqmaindi Songea nauza kilo 800 kama ukihitaji nalima mwenyeweHabari zenu wakuu
Mimi nina mahindi kilo 441 nauza. Kilo moja shilingi 1000/=. Nipo Kimara Dar. Mimi nayatoa Songea. Ila sihitaji udalali. Njoo na cash tufanye biashara.
Tafakari chukua hatua!nina mtaji fulani yaani hapa ninawaza cha kufanya my big problem is time kazi inanibana sawaza nitafanyaje nahisi umasikini utaniandama milele lolz
you killed it big upIla ukiweka stock mazao inalipa zaidi kama mahindi,dengu n.k
Mkuu 5m inatosha sana kwa kuanzia asa wakati wa mavuno ambako mazao hupatikana kwa wing I na bei nafuu kwa wakulima. Kwa mfano mahindi wakati wa mavuno huo ni mtaji wa fuso
Mkuu kuna msemo unasema "think big by starting small" kwa hiyo hakuna pesa isiyotosha.
Unauzaje mahindiMahindi nipo hapa kama unahitaji kununua
huku kukodi shamba ni tsh 100,000 kwa kila heka 1Heka 6 imegharimu Tshs ngapi?