Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Usiwe na haraka endelea kuhold tu kama yapo sehemu nzuri kuanzia mwezi wa tatu hapo bei ndo zinapandaga kwa kasi hata zisipopanda tunza tu utauza hata mwakani. Au pia unaweza kukoboa na uuze unga hapo utaona faida kama utapata tenda za kupeleka unga mashuleni.
Ila tumkumbushe pia Mahindi yanaelekea kukutana na Mahindi mapya.na hapo inakuwa shida sana..ushauri kwa sasa nunua uza nunua uza mda huo huo. fanya ivo mara kwa mara na sio kuhifadhi sana.
 
Binafsi Nina Gunia Za Mahind Zaid Ya Elf 2 Nasubir Mwez Wa 3 May B Bei Inaweza Badilika Kuna Madalali Waliniambia Sije Peleka Sokon Nitakula Hasara

Ebu Jaribu Kusubir Kama Umeyahifadhi Sehem Nzur
Mkuu hali ni mbaya sokoni. Lakini kuna kitu kama nakiona. Sijui wilaya nyingine zina hali gani, wila ya kilolo naona mwaka huu uzalishaji utashuka sababu kuna kipindi kirefu kimepita bila mvua. Infact kuna maeneo tayari mazao yamekauka.
Pia kuna mdudu wa hatari anakula mahindi.
Nadhan tusubiri
 
Ongea na wakuu wa mashule haya ya private boarding,
kata na motisha,
kama huna mtu wa kulobby,tafuta dalali anaejua kuupepeta mdomo,
atembelee mashule kama 50 tu ,huwezi kukosa hata shule 10 za kuchukua mzigo,
storing kwa mda mrefu napo kuna gharama zake hasa dudumizi wakikutembelea
 
Ongea na wakuu wa mashule haya ya private boarding,
kata na motisha,
kama huna mtu wa kulobby,tafuta dalali anaejua kuupepeta mdomo,
atembelee mashule kama 50 tu ,huwezi kukosa hata shule 10 za kuchukua mzigo,
storing kwa mda mrefu napo kuna gharama zake hasa dudumizi wakikutembelea
 
Hii measure inatitwa food security, ku maintain food security lazima uthibiti bei na uuzwaji kiholela nje ya nchi husaidia wenye kipato kidogo kuendelea kuwa na chakula na wafanya biashara wa mahindi kuendelea kuwa na bei isiyo terereka
Mmmh unasemaje wewe??
Food security at the expense of farmers?
 
Hii inatufanya watanzania hatuendi mbele kwa haraka.,
Kama unamtaji wa kununua au kulima ukapata gunia 2000, unashindwaje kuongezea dhamani hayo mahindi?
Kiroba cha kilo 25 ya unga uwe dona au sembe ni 22000 kwa Dar, ukisaga kunia moja unaweza kupata vitoba 3 kwa sembe au 4 kwa dona achilia mbali Pumba . Sasa kwann tunauza chakula ghafi!!??. Ni ajabu sana kwa mikoa ya mpakani na Kenya kama Kilimanjaro na Arusha, watanzania wanapeleka mahindi ghafi Kenya wenzetu wanayaongezea dhamani na kurudisha tena Tanzania kuuza kwa bei kubwa.
Ni vyema mkaungana kama mitaji haipo kubadili mambo.
sio ajabu ila asilimia kubwa ya wakulima ni wakipato cha chini ha wanasubili miezi 6 ili wavune sa iyo miezi wanayosubili ndo wanaishi kwa mikopo na kuuza mahindi na wanunuzi ni wajanja wanakukopesha ukivuna unawalipa huna jinsi mnaitaji mboga na mahitaji madogomadogo usipouza ayo maindi utayapeleka wapi ili upate ela za kujikimu
 
Mtoe huyo jamaa hapo bei itapanda,unajitia nuksi mwenyewe
 
Mkuu hali ni mbaya sokoni. Lakini kuna kitu kama nakiona. Sijui wilaya nyingine zina hali gani, wila ya kilolo naona mwaka huu uzalishaji utashuka sababu kuna kipindi kirefu kimepita bila mvua. Infact kuna maeneo tayari mazao yamekauka.
Pia kuna mdudu wa hatari anakula mahindi.
Nadhan tusubiri
Bila shaka unafurahia kwa majanga hayo. Ama kweli kufa kufaana.
 
Upo serious mahindi bei yake ndiyo hiyo kwa sasa?
Hajakosea Ni Sahihi Kabisa Binafsi Nilitembelea Soko La Tandale Kufanya Research

Kiro Wanauza 410 Yan Iyo Ndio Yale Mahind Mazur Mazur Wanakuanzaia 380 mpaka 410 Hutak kwenda
 
Vipi kiongozi kuhusu utofauti wa ubora wa mchele kutoka kanda ya ziwa mikoa ya shinyanga,geita kulinganisha na mikoa ya Mbeya,Rukwa na katavi kwa kuzingatia soko la Dar
Kwanza inabidi utambue katika ubora wa mchele kwa kigezo cha radha na harufu nzuri n mchele kutoka mbeya,ila kwa kigezo cha mwonekano n mchele kutoka kanda ya ziwa..na kwa upande wa soko mchele wa mbeya uko juu sana
 
Ebana hata mm nataka niulize jinsi ya kuchagua mpunga bora ili nipate mchele mzuri. Sijui jinsi ya kufanya...naomba msaada!
Mpunga bora huangaliwa kwa kuchukua sampuli ya mpungo huo na kuupekecha katika viganja vyako matokeo ndio majibu yako,endapo mchele uliopekechwa utakua umekatika katika basi mpunga huo hauko sawa na endapo mchele mwingi unatua umenyoooka basi ujue mpunga huo ni shwari na utapata matokeo mazuri ukipeleka mashineni
 
Si kila mtu afanye unacho waza ww mwingine biashara yake ni kutoa mahindi kwa wakulima na kuleta mjini na kuwauzia wafanyabiashara wa mazao na wenye mashine.

Mchakato uko hivi, mkulima analima na kuvuna kisha anauza kwa wafanyabiashara wanao fuata mzigo wake shambani. Kisha huyo mfanyabiashara analeta mjini kuuza kwa wafanyabiashara wa nafaka wenye Fram na wenye mashine.

Sasa ukitaka kila mtu apaki kwenye mifuko unahis nn kitatokea? Anzia mkulima mpaka mfanyabiashara mwenye mashine. Kila kitu ni kutegemea sio kama unavyo fikiria ww.
Sitaki kubishana na wewe kila MTU ana mtazamo wake ila siwez kulima mahindi nikauza mahindi.
 
Na mwaka huu mvua zitanyesha sana watu watavuta zaidi, utashangaa yatakavyo shuka bei zaidi na zaidi,

Anza kugaanga kokoro taratibu taratiibu usije pata hasara
 
Na mwaka huu mvua zitanyesha sana watu watavuta zaidi, utashangaa yatakavyo shuka bei zaidi na zaidi,

Anza kugaanga kokoro taratibu taratiibu usije pata hasara


Mngurumo wa tumbo umeacha???

Huu ushauri uliotoa unaendana na ushauri uliopewa kuusu shida yako ya tumbo kunguruma???
 
Mm npo songea nauza sh 250 kwa kilo njoo pm
 
Back
Top Bottom