Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndio tatizo letu kubwa Watanzania. Ungeziweka bayana hizo changamoto husika.Hii biashara ina changamoto sana mkuu tena kama ndio mwanzo unaweza kata tamaa
Na hili pia ni tatizo letu kubwa jingine Watanzania tunapenda kuwapa moyo wenzetu bila kuwaelezea changamoto za biashara husika..Hili ndio tatizo letu kubwa Watanzania. Ungeziweka bayana hizo changamoto husika.
Kuna ndugu zangu wanafanya hizi biashara na changamoto ni chache sana ukilinganisha na faida. Haswa ukiingia mwenyewe site/front kuliko kutuma watu wakufanyie kazi.
GeorgeGab hii ni biashara nzuri,Ila inatakiwa uifanye mwenyewe na kuwa makini. Unapenda kufanya biashara ya mazao gani? Labda ukiainisha hapa unaweza kupata ushauri zaidi.
Siku zote kinachotuangusha na kutukwamisha Watanzania ni nafsi zetu/yako mwenyewe. Tunagangamala na kulia lia sana kwenye changamoto badala ya kuona Fursa ndani ya hizo changamoto. Nasubiri upate huo muda wa kuzianisha hizo changamoto ambazo zinakatisha tamaa katika biashara ya mazao.Na hili pia ni tatizo letu kubwa jingine Watanzania tunapenda kuwapa moyo wenzetu bila kuwaelezea changamoto za biashara husika..
Ngoja nipate muda nirudi kuelezea vizur
Hilo ndiyo tatizo maana hapo unaweza ukakuta mtaji wako wote umeishia hasara.moja ya changamoto uwe tayari wakati wote kuuza kwa bei ya kupangwa na serikali kwani serikali inaiingiliaga bei za mazao hasahas vyakula ili kuwalinda walaji(wananchi) waweza wewe uwe umenunua kwa bei kubwa ukaambiwa uza kwa bei ya kupangwa na serikali uwe makini sana kwa mazao yanayoweza haribika kabla ya kuwa sokoni nakutakia biashara njema.
Jamaa smart sana. Ila angekuwa mpumbavu mwengine angeishia kumwambia jiajiri tu bila kumpa muongozo wowote kibiashara na kumuwezesha na rasilimali muhimu.Nimependa ulivomshauri na kumsaidia kivitendo badala ya wengine kutafuta wa kumtupia lawama.
Ndio anaanza nikiona ana mwelekeo mzuri nitamuongeza, naogopa kumpa nyingi maana biashara yenyewe ni ngeni kwake.akiwa na nidham ya kazi, na kama anajitambua atafanikiwa.
kama ungemwongezea kidogo ingependeza zaidi, japo kiasi ulichompa si haba.
Wazo zuri na maamuzi mazuri pia, lkn je kabla ya kumpa hiyo ela/mtaji mmejaribu kukaa chini angalau hata kidgo mkaelimishana kuhsu hiyo biashara.
Jinsi ya kuiendesha, wateja wake, changamoto, mahesabu ya kupata faida na kila kitu?
Maana kumpa tu mtaji aanze ikiwa hana ujuzi au uzoefu na biashara inaweza kuwa changamoto kwake akashindwa kuifanya kwa ufasaha.
But all in all ni biashara nzuri sana na inafaida nzuri.
Nimempa kila aina ya muongozo nimemuunganisha mpaka na watu wa kumtumia mzigo, mengine elimu yake itamuongoza.Wazo zuri na maamuzi mazuri pia, lkn je kabla ya kumpa hiyo ela/mtaji mmejaribu kukaa chini angalau hata kidgo mkaelimishana kuhsu hiyo biashara.
Jinsi ya kuiendesha, wateja wake, changamoto, mahesabu ya kupata faida na kila kitu?
Maana kumpa tu mtaji aanze ikiwa hana ujuzi au uzoefu na biashara inaweza kuwa changamoto kwake akashindwa kuifanya kwa ufasaha.
But all in all ni biashara nzuri sana na inafaida nzuri.