Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Ww ndo Ndugu sasa,nyny ndo ndugu sasa ujue bhana ktk maisha ni heri yule anayekupa nyavu ukavue samaki mwenyewe kuliko yule anayekupa samaki kila cku.

Ww ndo ndugu wa ukweli umekaa na mdogo wako umeona kahitimu masomo yake ila hana kazi ukaona umpe kimtaji kidogo afanye biashara na aitoshi ukamshauri na aina gani ya biashara yakufanya aisee nimekupongeza sana uko vzr haya ndo maisha sasa.

Na c unakuwa na ndugu yy anamaisha mazuri anakuona ww mdogo wake umemehitimu masomo bac hata kumpa support inakuwa ishu ooh unasikia tu akikwambia komaa dogo kuomba kazi usikate tamaa utapata tuu komaa aisee ila maisha aya.

Mm nakupingeza sana mkuu umechukua uwamuzi mzuri na Mungu atazidi kukubariki sana uwo ndo msaada sasa misaada ya dizaini iyi ndo mizuri ktk maisha na c misaada ya kupigana vizinga.
 
Ukiwa na bidii pamoja na nidhamu ya fedha itakutoa. Kumbe umehitimu elimu ya chuo Molembe
 
Anacho takiwa n kua na moyo mkuu maana katika hayo yote changamoto huja na Kama Hana uvumilivu kuachia ngazi n jambo rahisi Sana. But keep it up.
 
Sasa mkuu umeshachukua hatua ndio unaomba ushauri kweli?

Wadau wakisema hailipi utamnyang'anya pikipiki na mtaji
 
Nimempa kila aina ya muongozo nimemuunganisha mpaka na watu wa kumtumia mzigo, mengine elimu yake itamuongoza.
Mwombee kwa Mungu hao watu wasiwe walaghai, nakumbuka niliwahi kuunganishwa na mtu kwenda kuchukua viazi vya chips mafinga, jamaa alinifanyia uhuni si kawaida. Mtaji wote uliksta hata nusu ya fedha tu haikurudi. Hivyo akipata mtu sahihi atafanikiwa
 
Mkuu umefanya kitu sahihi,

Mshauri dogo awe na nidhamu tu ya pes ikiwezakana kuwa mnoko kidogo m-guide vizuri

Baada ya mwaka atakuwa mbali sana
 
I wish na mie ndg zangu wangekuwa na roho kama yako mkuu,wakanipa hata laki tano tu.... Inanitosha sana kwa elimu yangu nitachakalika tena baada ya miezi 3 naanza kurudisha hiyo pesa kidogo kidogo ili wapewe na wengine.....lakini mh!!!!! Hongera mkuu
 
I wish na mie ndg zangu wangekuwa na roho kama yako mkuu, wakanipa hata laki tano tu. Inanitosha sana kwa elimu yangu nitachakalika tena baada ya miezi 3 naanza kurudisha hiyo pesa kidogo kidogo ili wapewe na wengine, lakini mh! Hongera mkuu
Nitumie wazo lako na namna litakavyokulipa nione jinsi ya kusaidiana.
 
Hujakosea mkuuu mwambie aongeeze bidii kwenye kazi awe mbunifu na aipende kazi ndio msingi wa maisha yake.
 
Kama dogo anajitambua atapiga hatua! Wa kwangu akinikatisha tamaa baada ya kumpa kila nyenzo ya uvuvi akaishia kuoa kijiji kizima kasoro ndugu zake!
 
kila kitu kinawezekana. umefanya vizuri kuliko wale wanaosema jiajiri tuu kwa maneno.
 
Habari za muda huu. Jamani mimi nataka kufunga mchele kwa kg1, kg2, kg5, na kg10. Changamoto ni parkages na vibari kutoka serikalini. Hivyo naomba kufahamu wapi naweza kupata hivyo vifungashio na kwa upande wa serikalini nianze wapi msaada wenu jamani
 
Habari za muda huu. Jamani mimi nataka kufunga mchele kwa kg1, kg2, kg5, na kg10. Changamoto ni parkages na vibari kutoka serikalini. Hivyo naomba kufahamu wapi naweza kupata hivyo vifungashio na kwa upande wa serikalini nianze wapi msaada wenu jamani
Soko lako wapi, mkuu
 
Back
Top Bottom