Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Hakuna linaloshindikana,

Inawezekana hats ukachukua kidogo ili usome upepo
Mkuu, utapata faida ndio. Lakini sio virahisi hivyo kama unavyoweza kufikiria. It is easier said than done.
 
Hayo mahindi yana gharama lukuki katika ukusanyaji kama haujui. Usidhani unaenda tuu unayachukua mara moja. Hiyo bei unayosema ni ya kununua kwa mkulima wala sio sokoni.
Hapo hata kama utafanya aje faida haizidi 2mil.
 
Usisahau gharama za kushusha na kupakia mkuu, na gharama za kuweka kwenye ghala...lakini faida ipo
 
Msisahau gharama za tozo njiani kwa tani zaidi ya 2 pia. Je kuna anayejua huwa wanachaji kiasi gani kwa kila gunia?
 
Msisahau gharama za tozo njiani kwa tani zaidi ya 2 pia. Je kuna anayejua huwa wanachaji kiasi gani kwa kila gunia?
Pia kuna kitu wanaita "moisture" kwenye uuzaji....ukishaufikisha madalali wanapanga bei kulingana na mzigo wenyewe, ukishusha pesa, kuhifadhi pesa, uhifadhi mbovu siku Hadi siku yanaharibika....ni biashara nzuri inahitaji kuwa na soko kabla haujafuta mzigo
 
5.9 mil,
5.4 mahindi
500,000/ usafiri.
Kupakia na kushusha?
 
Mkuu, utapata faida ndio. Lakini sio virahisi hivyo kama unavyoweza kufikiria. It is easier said than done.
Kuna mambo zaidi.
- vifungashio.
- mkusanyaji.
- sehemu ya kuhifadhia.
- ubora wa mahindi.
- kibali ćha kusafirishia mahindi
Na mambo mènģine binafsi kibaao tu ! Huwezi pata faida kama ulivoainisha!
 
Back
Top Bottom