Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 845
Mmmhh usichanganye msimu uliopita na unaokuja mkuu, maana unaokuja na hizi mvua mmmmhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka huu, mvua nyingi... Kwa hiyo watu watavuna mara mbili... Soko litakuwepo kubwa kwa hiyo bei itakuwa ya wastani...Kabisa, hata Mimi naona mkuu.
Ila kwa mwaka huu kuna walakini au unaonajrdau?
CTMUkiwa na muda, naomba unieleweshe hicho kisa kutaifisha sukari.
Binafsi huwa naona biashara nzuri ni kununua mazao kwa bei ya chini, kipindi cha mavuno na kuyahifadhi ili kusubiri bei ipande ndipo uuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah gunia la debe 6 limefika hadi 120K kwa mikoa kama Shinyanga!Umetiki by 100% mkuu!
Bro kama hujawahi hustle na vi business vya kitaa huwezi nielewa au unaweza sema siko serious na life.
I’ve done pass all that..as i speak nina biz kubwa tu tena ya wholesale..
Biashara zina mambo mengi sana, Kwa mtu anayetaka kutoboa in a big way mimi kama
mimi binafsi nashauri atafute capital atleast isiyopungua 100+ million (Thats if mtu huyo ana plan kufanya any type of trading biz)
Kwa capital hyo any trading biz lazima utatoboa..ila sijui una 5M au 10 M utapata hela ndio ila ya kubadili mboga tu.
Ila kama nina elimu yangu nzuri average salary nipate between 1 M to 3M au mpaka 5M kwa mwezi nibora niajiriwe kwa atleast 3 years ni make hela then nizame kitaa na capital.
Maana yake kama hela huna possibly likely hata collateral mtu hana. Ya dig ??
Mimi ninayo Yale ya 20,000 wakati ule
5.9 mil,
5.4 mahindi
500,000/ usafiri.
Kupakia na kushusha?
Hato kaa arudie tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hesabu za kwenye makaratasi...Zilimponza jiwe akavamia Korosho
Boss apo serikali haijaweka mkono wake wa vibali mara sijui ushuru... vitu kibao kidogo serikali kila gunia wanaweza kumeza 3000 au 4000 bado kupakia na kushushaBei ya mahindi leo. Singida gunia la kilo 100 linauzwa 54000.
Arusha au manyara gunia hilo hilo linauzwa 100,000.
Nikichukua gunia 100 za mahindi singida nitatoa 5.4M. Usafirishaji kwa gunia moja ni 5000 hadi manyara. Kwa gunia 100 nitalipa 500,000 usafiri. Hapo sasa natakiwa kuwa na 5.9M
Nikienda kuuza gunia 100 manyara kwa bei ya 100,000 kila gunia nitapata jumla ya 10M. Nikitoa gharama za usafirishaji na hela ya mtaji nitabakiwa na jumla ya shilingi 4.1M.
Net profit hapa ni 4.1M.
Kazi hii naweza kuifanya ndani ya wiki moja kuanzia kukusanya magunia singida hadi kuyapeleka kuyauza manyara.
................................................................
Oya mwenye 5.9M ya haraka hapo aingie chimbo akapige hiyo hela. Faida ya milioni 4 ndani ya wiki moja sio hela kidogo. Hii ishu ni uhakika, hata kama hutapata hiyo 4M huwezi kukosa hata 2M.
Ngoja niendelee kujichanga kamtaji kakue nikapige hiyo hela.
Jioni njema.
Ushuru piaKuna mambo zaidi.
- vifungashio.
- mkusanyaji.
- sehemu ya kuhifadhia.
- ubora wa mahindi.
- kibali ćha kusafirishia mahindi
Na mambo mènģine binafsi kibaao tu ! Huwezi pata faida kama ulivoainisha!
Sio vikwazo mkuu..Watz tuna ttzo always mtu hutafuta kikwazo na blah blah kibao mara gharama za mfuko, vibega, sijui ushuru n.k Yaan ukimueleza mtz fursa fulani atakupa sababu elfu za kukutisha usichukue hatua no matter uhalisia ukoje
Ambapo kwa hesabu za kijasi hizo sio gharama za kuogopa ikiwa hata gunia la kg 100 utanunua elfu 60 pigia na elfu 20 ya gharama zote kwa kila gunia lifike kwa mnunuzi kwa elfu 80 then ubakiwe na 20 kwa kila gunia hasara iko wapi? Na kiukweli kwa sasa kupata mahindi tani 10 sio jambo la kuchukua wiki moja
Hapo angalizo la muhimu na ambalo ni changamoto kuu ni kuwa na connection ya mteja basi usilogwe upeleke mzigo bila kuwa na mteja kwanza the rest ni sawa na kumsukuma mlevi
Bro apa unamzungumzia mtanzania wa namna gan... au unazungumzia wabunge[emoji28][emoji28]Bro kama hujawahi hustle na vi business vya kitaa huwezi nielewa au unaweza sema siko serious na life.
I’ve done pass all that..as i speak nina biz kubwa tu tena ya wholesale..
Biashara zina mambo mengi sana, Kwa mtu anayetaka kutoboa in a big way mimi kama
mimi binafsi nashauri atafute capital atleast isiyopungua 100+ million (Thats if mtu huyo ana plan kufanya any type of trading biz)
Kwa capital hyo any trading biz lazima utatoboa..ila sijui una 5M au 10 M utapata hela ndio ila ya kubadili mboga tu.
Ila kama nina elimu yangu nzuri average salary nipate between 1 M to 3M au mpaka 5M kwa mwezi nibora niajiriwe kwa atleast 3 years ni make hela then nizame kitaa na capital.
Maana yake kama hela huna possibly likely hata collateral mtu hana. Ya dig ??
Wapi panatarajiwa kuwa na mavuno mengi ya Mpunga?Mwaka huu Mahindi yatakuwa ya shida zaidi kutokana na mvua kuharibu hasa waliolima October na November 2019.
Mwenye mtaji afanye hima bei ikishuka hiyo March/April kwa maeneo watakayopata vizuri!
Ila mpunga hata 36,000 kwa gunia utafika msimu huu.
Kanda ya ziwa.Wapi panatarajiwa kuwa na mavuno mengi ya Mpunga?
Wapendwa wangu nataka kufanya biashara ya kununua mahindi toka Morogoro, Iringa au Njombe niyauze hapa Dar es salaam kwa magunia. Nmefanya research fupi yakuuliza kama naweza kuuza sokoni K/koo, lakini competition ni kubwa sana.
Pia sina watu katika hiyo Mikoa wakuniuzia hayo mahindi kwa bei nafuu. Tatizo lingine ni bei za usafirishaji kutoka hizo sehemu.
Naomba msaada wenu. Mungu awabariki sana
Kwa mkoa wa rukwa, hasa ukanda wote kuanzia, nkasi, namanyere, laela, huwa kuna mahindi mengi sana, kuanzia mwezi wa tano, ndio huvuna gunia huanzia 25,000!!! Ni mengi sana, hadi katavi.Habarini wakuu, naombeni msaada kwa mwenye uzoefu, nataka nianze hii biashara ila sina baadhi ya taarifa hope wapo wenye uzoefu watanijuza, kama mlivoelezea juu hapo kuwa miezi ya mwanzo wa mwaka bei ya mahindi huwa inapanda kidogo, Taarifa kubwa ninayotaka kujua ni muda wa mavuno sababu mara nyingi bei ndio huwa inashuka, Naombeni mnijuze misimu ya mavuno au upatikanaji wa mahindi kulingana na mikoa kwa mfano kama sasa nikitaka mahindi nikachukue mkoa gani? maana nimejaribu kufuatilia bei wilaya kama ya sumbawanga naona wao mahindi yapo juu kidogo nadhani waliwahi kuvuna, nisaidieni kwenye hili jamani wenye uzoefu kwenye biashara hii. Yani kwa kifupi nataka nijue kwa kuanzia kama sahivi mkoa gani mahindi yanapatikana kwa wingi na mnijuze kila mkoa na miezi yake ya mavuno. Nitashukuru nikipata majibu ya hayo maswali yangu kwa haraka.
Natanguliza shukrani, Ahsanteni.