Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Uzi mzuri sana, Niko Sumbawanga gunia LA mahindi ni 50000 kwa sasa na yanazid kupanda bei , upatikanaji wake pia ni mgumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uko swax mitaa ipi? Naomba niinbox namba yako...Uzi mzuri sana, Niko Sumbawanga gunia LA mahindi ni 50000 kwa sasa na yanazid kupanda bei , upatikanaji wake pia ni mgumu
Ubaruku ipo Wilaya na Mkoa gani??Habari wanajukwaa. Mwenye ufahamu na biashara ya kusafirisha mchele kutoka Ubaruku kwenda Dodoma naomba anieleweshe hapa, kuhusu gharama na namna ya kupata malori yanayobeba mzigo.
Asanteni.
MbeyaUbaruku ipo Wilaya na Mkoa gani??
Mpaka hapo usha mteka kwenye upande wa machine na vifungashio ili akutumie wewe kuvipata ila ukizidi 100k Mimi najua wanapo uza machine kwabei rahisi na vifungashioBhbm,
Mkuu mimi c pingani na wewe but nataka kukushauri jambo moja,
- katika swala zima la biashara ya nafaka ni bora ukajikita katika ku ad value au kuongeza thamani ya hizo nafaka.
1. Ni bora ukawa na ofisi yako mjini na jaribu kuyaongezea thamani hayo mazo kama vile kugred na kupark kabisa. Hapo utakuwa umeongeza thamani na utauza kwa bei ya juu, na unaweza tafuta hata supermaket tano tu za kuwa sambazia.
2. Hili la kununua mchele kutoka mbeya na kuja kuuza dar kama ulivyo hakuna cha maana sana mtu nacho pata zaidi ya ujanja ujanja wa kuchanganya. Mtu anachukua mchele wa mbeya na kuchanganya na mchele wa morogoro
- hii biashara ya nafaka c kwa mba inalipa sana ila ni ujanja ujanja unao fanywa na wauzaji kwa kuchanganya changanya. Anaweza chukua gunia la maharage safi akachanganya na nusu gunia la maharage mabovu ndo business inaenda.
- ila hili la ujanja ujanja ni la muda sana na si endelevu.
So jitajidi upate hata mashine ya kupaki kwenye mifuko, mfano ukipata mashine moja inayo itwa heavy duty sealing machine ni nzuri sana unaweza ukawa na vibarua wako wa kugred na wewe ukawa unapaki na kuuzia watu wa supermarket.
Hiyo mashine niliyo kuambia ni ambayo ina silidi kama vile totopark zinavyo kuwa zimefungwa kwenye vile viloba.
Kuna kampuni moja ya Kenya ina tengeneza vifungashio vizuri sana unweza cheki huko.
wewe ndo huyo kwenye avatar
Biashara hii nzur sana kwa kuvusha mpakani kama uko arusha ukichukua nafaka uvushe nairobi kuna faida kubwa sana. Binafsi nilijaribu kufanya kidogo vitunguu kutoa mangola na kupeleka marikiti nairobi kwakwel profit ipo ukiwa na mtaji. Sijajua target yako lakini nafaka inalipa kwa nchi za jirani maana wanategemea sana chakula kwetu