OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Watu kama ninyi ndio mnasababisha watu wachome mitaji,Sasa mwanamke wa kuoa si huyu hapa Sasa..
Sio wale wengine wanaotafuta wanaume wenye hela, badala wakae kutafuta pesa zao wenyewe..
Mkuu kwa Nini usifikilie kufanya biashara ya viatu vya kike..
Ukfika kariakoo Kuna viatu vya kike vinauzwa buku3500. Ni vizuri Sanaa
Ni vile hatufahamiani Wala kuaminiana, ila ungeona inafaa unakuja kwa Mara ya kwanza dar unachukua mzgo.
Wew unaenda kuuza buku5000 tano.
Kwa capital yako, unaweza Anza na piece 150. Mzigo utachukulia kwny maduka ya wahindi kwa Bei ya jumla jumla..
Mimi pia nafikilia kufanya biashara hii japo mtaj kwa upande wang bdo changamoto. Lakini nafahamu kila ktu kuhusiana na biashara hii
Mtaji wa laki nne unamshauri stoke mwanza aende kariakoo kuchukua mzigo?
Au unataka kumtapeli huyu dada? Isijekuwa umekaa na mzigo wako huko hujauza unataka kumshikisha dada wa watu?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app