Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
Hapa naweza kucheki channel 2 kwa dekoda moja, kwenye dekoda niweke supersport 3 na kwenye laptop nicheki supersport 4 ???
Mpambanaji nmefatilia huu uzi nasubir mrejesho kama umeanza kupga mzigo na vipi response ya biashara,kama bado usiliache wazo lako lifanyie kazi brother.Asante sana kaka kwa ushauri, japo nipo Arusha kwa sasa naona kama gharama ya TV na usafirishaji kwa ujumla itakuwa kubwa zaidi.
Hiyo siku ni sasa .Time is not on your side remember!Hongera kwa Wazo zuri mkuu, huwa natamani kuifanya hii kitu ila ipo siku
Shukrani mkuu kwa Courage, nalifanyia kaziHiyo siku ni sasa .Time is not on your side remember!
Vipi mapato kwa siku kama sehemu imechangamka?Mtaji kwa biashara hii unaweza ukaanza na sh m5 ujenzi wa banda milioni 2 tv za flatscreen mbili milioni 1.4 vinga'muzi vinne I mean vya dstv viwili cha startimes 1 na cha azam 1 vitakucost kama laki 7 plus na vifurushi vyake fedha itakayobaki kuna vitu vingine mafeni ya mtumba moja linauzwa sh40,000/*3 itakuwa sh 120,000/ kwa ajili kupunguza joto bila kusahau generator kubwa sh 400,000/ fedha iliyobaki utalipa kodi eneo ulilokodi
Nafikiri uki point hasa vijijini huko unaweza kupiga pesa nzuri tu.Daah kama inalipa hivi, ila hawa waazam nawaogopa.
Kwenye banda la video unaweka vinywaji pia na movie za Kiswahili.Hivi hii biashara bado inauzika, kweli Tanzania ni kubwa, maana huku kwetu Mpitimbi watu wanaonesha mpira kwenye Bar kiingilio bia yako; unaonaje hilo eneo ukifungua bar ukawa unaonesha mpira ligi zote kubwa!!..ni wazo tu mkuu.
Ulifanyia town sana au?Kiongozi kwa kweli hii biashara mimi ilinishinda yaani nilikuwa nalipia 92 elfu kwa compact + halafu mwisho wa mwezi napata hasara kama ya 20 elfu hapo bado wananzengo wanakopa mechi kulipa ndo mbinde ila naumiza akili nikija kuibuka watanielewa tu kwa nitakachokifanya.
Kumbe Kingereza kijijini kinapeta!Kifaransa babaaa kifaransaa wateja. Tutaelewanana kweli vijijini huku.
Wazo jema ila ntaanza na TV mkuu
Kwa mchana epson eb s41 itakufaa, kwani ina resolution nzuri hata kunapokua na mwanga. Pia usitumie kitambaa kuoneshea kwani projector kwenye kitambaa haing'ai kama kwenye ukuta mweupemkuu,nipe uzoefu wa kutumia projector wkt wa mechi za mchana.
Simu ipo umbali gani na tv? Jaribu kuiweka karibu.Msaada nimenunua Led smart tv, najaribu ku connect n wireless kutoka kwa hotsport ya cm lkn inanambia "bad network, not in range" ilhali mtandao upo vizuri. Au nakosea kuunganisha?
Kama una uelewa mzuri na hii canal mkuu unisaidie nilitaka chukua hii je ina option ya kubadili lugha ya Uingereza yale matangazo ya mpira.Sio reliable, Mashabiki wenye hasira Kali wanaweza kuvunja TV ikianza kunata nata hasa timu ikiwa imefungwa. Na unaweza unaangalia mpira mwenyewe ikaonesha fresh tu Ila watu wakijazana kwenye Banda signal nazo zikaanza kuleta tabu na speed kudrop.
Kuna jamaa wa canal watu wanatumia Bei zao Ni affordable.
Pia DStv Wana DStv now unaweza ukajaribu kwa decoder moja na service ya DStv now uangalie Kama online inaweza kuwa nzuri.
Hapana ni kifaransa, kwa Ajili ya Congo.Kama una uelewa mzuri na hii canal mkuu unisaidie nilitaka chukua hii je ina option ya kubadili lugha ya Uingereza yale matangazo ya mpira.
Buffering ya dstv now inakubali kiongozi kuunganisha, yaani niwe na smart TV nanikonect na hii kitu niangalie soka.nunua moja ya pili tumia DSTV now!
maana cgangamoto ni kupata reliable stream....kuna streams lazima upate buffering regardless ya network.
wana estimate 1.2GB/hr kama ukitazama kwa 720p
View attachment 1216566