Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Hii maada ni nzuri sana ila cha ajabu kama kawaida kuna watu wamekazania kutafuta mawe badala ya kutafuta mchele, naona watu wa kutafuta mawe wanakosoa jinsi mtoa maada anavyochapia kuandika lakini wengine tumekazania mchele tumemwelewa vizuri mtoa maada, Big Up mtoa maada.
 
Mimi nimechagua kupata ela kupitia betting, kupanga ni kuchagua! Yote ni matunda yapatikanayo kupitia michezo.
 
Napalilia wazo mkuu kuna sehem Babati wanapenda mpira sana na kuna jamaa mmoja tu anaonyesha mpira na waga anajeur huyo analipisha buku buku ata iwe mechi gan yaan sometime anakera ila watu wanajaaa balaa mpk banda umiza lake linatema ye kaeka flat kubwa 2 na kadogo katikati
Ndio. Karibu.
1. A 2 z Soccer Hall .Tupo Kibaha mkabara na kanisa la TAG
2. Vijana Stadium . Tupo Tandale kwa tumbo.

Huduma zetu ni nzuri sana. Kumbi za kisasa zenye kila kitu cha kisasa. Usalama wa uhakika muda wote. Sreen Tv ziko zaidi ta tatu na zimefungwa mahara sahihi kila mtu kuona. Huduma zote zipo: Vocha na vinywaji baridi. Hatutaki ushabiki wa kishamba, wa ulimbukeni na hatutaki vurugu!.

Karibuni wote. Njoo na marafiki zako; njoo na familia yako; njoo na mpenzi wako kumbi zote zetu ni mahara salama pa kupumzikia; kupunguzia stress na kuburudika ki soccer!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio. Karibu

Mkuu nimeipenda hii idea na nilikua naumiza kichwa namna ya kuanza. Umesaidia sana.

Swali langu ni 1. Ujenzi gani ni nnafuu kwabanda zuri na smart 2. Usimamizi wake unakuaje hii biashara?

Mimi siogopi changamoto katika biashara, eneo langu ni Dodoma uswahilini flani kuzuri sana.
 
Sina uzoefu nayo ila nafikiri uzuri wake ni ile kupunguza makorokoro ya kufunga ukutani.
Kwa sababu yenyewe ni portable unaweza kutembea nayo kwenye begi tu ukaenda kulala nayo chumbani kwako
Hapo sawa
 
Back
Top Bottom