Upo Nchi Gani? Hivi unajua kutizama Mechi Banda Umiza ni 1000 iwe Mechi Moja double au Tatu kwa pamoja, na idadi ya watizamaji sometimes hufikia hata 100. Endapo wakiingia wateja 30 unaingiza elfu elfu 30 sasa kutizama Mpira ni gb kama moja au mbili.Ni too expensive
Duuh huu mtihani nitabaki tu na dstv yangu, Mkuu vipi uko hewani sasa nikuunge kwa ile group niliokuomba nahitaji michango yako humu.Hapana ni kifaransa, kwa Ajili ya Congo.
Hivi hizi TV za inchi 32 zinatosha mkuu? Isije ikawa wachezaji hawaonekani fresh!
Basi ni bora Projector.Kwa burudani na uwakoshe watazamaji ni 42 inch
Yote 9 funga kazi projector hata ya lak300 zenji bei chee
Sikushauli jeneretor panel na betri yake pamoja na chager controler ni laki 3 , generetor ndogo zinaua sana tv za flat .....halafu gaharama ya mafuta kumbuka hiyo ni kwa emegerncyHiyo paneli gharama yake ikoje? Maana kijenereta kidogo tu kuna sehemu nimeulizia wanauza kama 300 hivi
Kama nikiamua kuanza kiugumu ugumu itakuaje? Kuna uwezekano wa kuwapoteza wadau?Sikushauli jeneretor panel na betri yake pamoja na chager controler ni laki 3 , generetor ndogo zinaua sana tv za flat .....halafu gaharama ya mafuta kumbuka hiyo ni kwa emegerncy
sent from toyota Allex
Inalipa sana naskia. Nina wadau wangu wanapiga hiyo nao.Chukua mchanganuo huu hapa Gharama ya ujenzi banda milioni 3 pamoja na mabenchi flatscreen kuanzia mbili za nchi 43 moja sh laki 6 dstv vinga'muzi viwili laki na 60 na package yake inadepend azamu ving'amuzi viwili laki 3 na package yake 36 startimes ya dish ving'amuzi 2 sh laki na 60 generator sh 400,000/= mafeni ya mtumba sh 40,000/= 1* chukua kuanzia 3 Mimi ndo biashara yangu since 2014 mpaka leo na ni biashara ambayo haina ushindani na inalipa kinyama kama utakuwa mvumilivu
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ duh!Duh kuna kipindi nilikua Dar nilikua napata changamoto sana sehemu ya kuangalia Mechi. Kumbe wengi wanaangalizia kwenye Betting rooms (sehemu wanapo bet)
Generator muhimu mkuu kama unataka kufanya biasharaInalipa sana naskia. Nina wadau wangu wanapiga hiyo nao.
Sasa kuanzia jenereta isipopatikana mambo yanakuwaje. Mana huu umeme wa bongo mzee ukisema uusubirie utapoteza wateja.
Nikisema labda niwe nakodi jenereta gharama itakuwaje?
Pamoja sana. Itabidi nilizingatie hiloGenerator muhimu mkuu kama unataka kufanya biashara
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app