Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Huu uzi mwigulu nchemba anawaangalia ngoja aje na makadirio ya kodi
 
Natamani unitajie hizo projector model/brand zake.
 
Natamani unitajie hizo projector model/brand zake.
Zipo nyingi sana mkuu tunaongelea maelfu toka kina Ben Q, Anker, Sony, LG, Samsung, Epson, Optoma, Acer etc.

Cha muhimu angalia native resolution, na Lumens kama eneo lako lina mwanga.

Mfano nzuri kama hii Optoma HD146X

Pia siku hizi zipo projector za laser, short throw, inch kadhaa tu toka kwenye ukuta unapata bonge la picha bila kuweka projector mbali, sema bei ndefu milioni kadhaa.
 
Mimi Nipo Kwenye Hii Biashara For Years.....Nilikua Nawaza Tunaweza Unda Group La WhatsApp Kwaajili YaKuepeana Updates Pamoja Na Changamoto Za Hapa Na Pale
Mkuu upo mkoa gani na mie nataka anzisha hii....mtaji kiasi gani unahitajika?
 
Inadumu kwa mda gani
 
Kwa nini hamtumii ANDROID TV BOX? kupitia Android TV Box utapata Mobdro. Ndani ya Mobdro mechi karibu zote zinapatikana.Internet yako tu ya 4G itahusika. Nunua Android TV Box, nunua 4G router. Kazi imeisha
Iyo android tv box n sh ngap na 4g router sh ngap
 
Iyo android tv box n sh ngap na 4g router sh ngap
Kuongea ni rahisi lakini kimbembe ni pale network inapozingua alafu ushakusanya pesa ya wadau. Ni dhahiri utakuwa umepoteza wateja.
 
Mi natatizwa sana na kuangalia mpira kupitia projector, nyingi resolution yake inakua sio nzury, picha inakua blur , vipi kuna faida gani ya kutumia projector badala ya tv inch 55?
 
Mi natatizwa sana na kuangalia mpira kupitia projector, nyingi resolution yake inakua sio nzury, picha inakua blur , vipi kuna faida gani ya kutumia projector badala ya tv inch 55?
Hizo projector ni low quality, jaribu za Epson zenye kwanzia lumens 3800 utaenjoy sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…