GITWA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,572
- 1,781
Asante kwa ufafanuzi hiyo Epson inauzwa sh. NgapiEpson ina resolution nzuri kuliko hio optoma.
Ingia online utapata maelezo zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ufafanuzi hiyo Epson inauzwa sh. NgapiEpson ina resolution nzuri kuliko hio optoma.
Ingia online utapata maelezo zaidi
Ungeweka mawazo ya biashara yote uliyo nayo ili tukushauri.Nimekusoma mkuu
Na kabla ya halotel palikua na voda, tigo nkKariakoo kila mtu ana duka la nguo na wote wanauza.
Pamoja na hilo usisahau kuweka jenereta ili umeme ukikatika watu wawe na uhakika wa kuendelea kuangaliaDu! Hii ni kali ila naweza weka binti mmoja ndie awe anasimamia
Mimi nilinunua za mtumba kwa banda hivo hivo na hazikua zimetumika masaa mengi.Asante kwa ufafanuzi hiyo Epson inauzwa sh. Ngapi
Hiyo ipo tayari mkuuPamoja na hilo usisahau kuweka jenereta ili umeme ukikatika watu wawe na uhakika wa kuendelea kuangalia
Ok, mkuu kwa kuwa tayari ninayo hii nitaanzia hii na baadae ndio nitaona cha kufanya ili kukuza ushawishi kwa wateja.Mimi nilinunua za mtumba kwa banda hivo hivo na hazikua zimetumika masaa mengi.
(500,000 - 700,000) kulingana na model.
Biashara zingine zipo zinaenda poa ila hii ya banda la mpira ni mpya kwangu na naipenda.Ungeweka mawazo ya biashara yote uliyo nayo ili tukushauri.
ndio, namabanda ya mpiraOk, mkuu kwa kuwa tayari ninayo hii nitaanzia hii na baadae ndio nitaona cha kufanya ili kukuza ushawishi kwa wateja.
Vp na wewe unaonyesha mpira?
Hiyo inch 55 unauzaje boss? Na je huo ukubwa unafaa kweli kwa banda kubwa kiongozi?Sijui kama utanielewa lakini chukua hii... anza biashara ila zingatia mazingira mazuri flat screen kubwa spika ya uhakika ukipata wa dada wazuri wawili itanogesha zaidi... ukitaka... TV BIG SREEN NJO KARIAKOO CLUB YA SIMBA HAPA NTAKUPA SUMU ZA KUTOSHA.
Mkuu hebu nipe hints za changamoto ya hii biashara nijiandae kukutana nazo.ndio, namabanda ya mpira
1.Mwanzo mgumu,usitarajie makubwa inaeza chukua misimu 3 kutengeneza loyal customers.Mkuu hebu nipe hints za changamoto ya hii biashara nijiandae kukutana nazo.
Barikiwa sana kwa angalizo lako mkuu nitazingatia hayo.1.Mwanzo mgumu,usitarajie makubwa inaeza chukua misimu 3 kutengeneza loyal customers.
2.Vifaa vya umeme ni risk, jitahidi usikose balance wakati wowote niliunguza tv 55' na decorder zote wakati bado office mpya.
3.Wateja wenye lugha chafu za matusi wazibiti mapema na uwe na sheria zako bandani.
Kua na lugha nzuri ni biashara imetoa wengi hii
Tv 55 ' naweza pata kwa bei gani nzuri mtumba au mpya?1.Mwanzo mgumu,usitarajie makubwa inaeza chukua misimu 3 kutengeneza loyal customers.
2.Vifaa vya umeme ni risk, jitahidi usikose balance wakati wowote niliunguza tv 55' na decorder zote wakati bado office mpya.
3.Wateja wenye lugha chafu za matusi wazibiti mapema na uwe na sheria zako bandani.
Kua na lugha nzuri ni biashara imetoa wengi hii
Ntapata wapi mtumba kama huu kiongozi?Mimi nilinunua za mtumba kwa banda hivo hivo na hazikua zimetumika masaa mengi.
(500,000 - 700,000) kulingana na model.
Zanzibar mkuu sema nimeacha siku hizi ila hyo ndo ilikuwa bussness yanguTv 55 ' naweza pata kwa bei gani nzuri mtumba au mpya?
Sasa hivi zitakuwa zimepanda maana vitu vingi vimepanda ila kama unaenda mwenyewe zanzibar haukosi hyo kwa laki 5 unaweza pata sema sijaenda mda unakaribia mwaka itakuwa vitu vimepandaNtapata wapi mtumba kama huu kiongozi?
Ni projector hizo na sio tvNtapata wapi mtumba kama huu kiongozi?
Cheki na abdul wahid yupo humuNtapata wapi mtumba kama huu kiongozi?