Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

Asante kwa ufafanuzi hiyo Epson inauzwa sh. Ngapi
Mimi nilinunua za mtumba kwa banda hivo hivo na hazikua zimetumika masaa mengi.
(500,000 - 700,000) kulingana na model.
 
Ok, mkuu kwa kuwa tayari ninayo hii nitaanzia hii na baadae ndio nitaona cha kufanya ili kukuza ushawishi kwa wateja.

Vp na wewe unaonyesha mpira?
 
ndio, namabanda ya mpira
 
Sijui kama utanielewa lakini chukua hii... anza biashara ila zingatia mazingira mazuri flat screen kubwa spika ya uhakika ukipata wa dada wazuri wawili itanogesha zaidi... ukitaka... TV BIG SREEN NJO KARIAKOO CLUB YA SIMBA HAPA NTAKUPA SUMU ZA KUTOSHA.
Hiyo inch 55 unauzaje boss? Na je huo ukubwa unafaa kweli kwa banda kubwa kiongozi?
 
Mkuu hebu nipe hints za changamoto ya hii biashara nijiandae kukutana nazo.
1.Mwanzo mgumu,usitarajie makubwa inaeza chukua misimu 3 kutengeneza loyal customers.
2.Vifaa vya umeme ni risk, jitahidi usikose balance wakati wowote niliunguza tv 55' na decorder zote wakati bado office mpya.
3.Wateja wenye lugha chafu za matusi wazibiti mapema na uwe na sheria zako bandani.

Kua na lugha nzuri ni biashara imetoa wengi hii
 
Barikiwa sana kwa angalizo lako mkuu nitazingatia hayo.
 
1.Mwanzo mgumu,usitarajie makubwa inaeza chukua misimu 3 kutengeneza loyal customers.
2.Vifaa vya umeme ni risk, jitahidi usikose balance wakati wowote niliunguza tv 55' na decorder zote wakati bado office mpya.
3.Wateja wenye lugha chafu za matusi wazibiti mapema na uwe na sheria zako bandani.

Kua na lugha nzuri ni biashara imetoa wengi hii
Tv 55 ' naweza pata kwa bei gani nzuri mtumba au mpya?
 
Ntapata wapi mtumba kama huu kiongozi?
Sasa hivi zitakuwa zimepanda maana vitu vingi vimepanda ila kama unaenda mwenyewe zanzibar haukosi hyo kwa laki 5 unaweza pata sema sijaenda mda unakaribia mwaka itakuwa vitu vimepanda
 
Back
Top Bottom