Biashara ya Kusaga na Kukoboa: Uzoefu wangu wa miezi 15

Nakushauri ufunge ya umeme.

Ya dizeli ni changamoto sana brother. Hasa kwenye moto ake juu ya mortor. Zinaunguza sana mortor.

Imagine unanunua mortor kwa 1.3m then iungue?! Japo una uwezo wa kuisuka upya kwa 500 hadi 700k
Shukrani Mkuu, unajua changamoto ya Umeme bado ni shida maeneo mengi
 
Ubarikiwe Sana kwa bandiko hili zuri!

Binafsi hapo kwenye sehemu ya mapato sijaelewa vizuri- umechukua unit za umeme 28 zenye thamani ya tshs 10000/ ukazidisha kwa 1000/ ukapata 28000.

Hiyo alfu moja iliyozidishiwa inatokana na nini?
 
Unit 1 ya umeme inakulipa sh 1,000; yaani inaleta faida ya 1,000 - 357= 643
 
Hongera sana, kila la kheri mpambanaji.
 
Hongera sana mkuu,
Hizi ndio mada za kujadili kwa kweli, zinahamasisha sana watu na kushughulisha akili. Sijajumlisha kujua mtaji kwa ujumla wake ni kiasi gani ila nilichojifunza ni kwamba kwa vile watu wengi sasa wanasaga na kukoboa, unatakiwa kuwa na brand yako, uwe na mahindi yako unakoboa na kusaga, unafanya packaging kabisa.

Tatizo hapo naona ni mtaji ila upo kwenye direction nzuri. Hongera.
 
Kingine nilichokiona sio lazima uwe na mashine.

wewe nunua mahindi,nunua mifuko iliyo chapwa brand yako uliyoisajili kisha anza kuuza mdogo mdogo, ukitafuta soko na wateja

Hizo taratibu nyingine zitafuata, kikubwa kuwa makini na wenye sheria zao
 
Nakushauri ufunge ya umeme.

Ya dizeli ni changamoto sana brother. Hasa kwenye moto ake juu ya mortor. Zinaunguza sana mortor.

Imagine unanunua mortor kwa 1.3m then iungue?! Japo una uwezo wa kuisuka upya kwa 500 hadi 700k
Mashine ya diesel ukifunga huitaji mota koongozi .
 
Mzee sasa unapataje faida...maana naona hapo mara umendika umeme wa 100,000 unapata unit 28, Kisha ikaja ukazidisha kwa buku ukapata 28000 ukatoa kwa 10,000 ukapata 18,000

Faina yako unaihesabu kwenye unit au namna unavyozalisha na kuuza BAada ya kutoa matumizi!?
 
Unataka mkopo wa kufanyia nini?.
 
Asante sana kiongozi
 
Umeme kununua unit 1 ni 357/=. Mm nikiifanyia kazi hiyo unit moja, inaingiza 1,000/=, maana yake unit 1 inaleta faida ya 643.

Zikiwa units 100, maana yake utapata faida ya 64,300
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…