MC RAS PAROKO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 623
- 606
Uzi umenyooka sana huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujapishana. Changamoto kubwa kwangu ni ukosefu wa mahindi kutokana na ukame. Napambana nipate mahindi ya kutosha mwaka huu kuondoa hiyo changamoto.1. Uhaba/ukosefu wa mahindi kutokana na ukame
2. Kukatika kwa umeme mara kwa mara
Funga hiyo mashine ina faida nzuri sana.Hizo ndiyo mada nzuri kwa vijana kuchangia na kupata mawazo Chanya, sio Kila muda kuwaza ngono tu.
Kuna mwenye uzoefu na mashine za Dizeli kuhusu faida? Kwa changamoto hii ya Umeme iliyopo nafikiria kufunga mashine ya kutumia Mafuta/Dizeli
AsanteNdugu zangu, mwaka jana July 2021 nilinunua mashine ya kusaga na kukoboa na kuifunga Tanga mwezi wa Septemba, 2021.
Mchanganuo wa Vifaa:-
1. Mashine ya Kusaga
Kinu size 75 - 1,200,000
Mortor 30hp - 1,300,000
Starter(On/Off)- 300,000
Pulleys 2 - 100,000
Mikanda 3 - 15,000
2. Kinu cha Kukoboa
Kinu rollers 3 - 1,200,000
Mortor 30hp - 1,300,000
Pulleys 2 - 100,000
Switch - 300,000
Mikanda 3 - 45,000
Vifaa vingine vya umeme:-
1. Main Switch 3Phase - 190,000
2. Socket braker 100A- 60,000
3. Wires, taa, earthrod,clamps, switches - 150,000
Vifaa vya usimikaji mashine
1. Channel/Chasis cha chini (2)- 250,000
2. Cement mifuko 2 - 29,000
3. Mchanga ndoo 30 - 15,000
4. Guta la Kokoto - 30,000
5. Usafiri Guta ( 2,3&4) - 10,000
Ufundi:-
1. Umeme - 200,000
2. Ujenzi/Mechanical - kufitisha vinu chini - 150,000
Gharama ya kufunga umeme 3 phase (jumla) - 1,200,000
Kodi ya frame - 50,000 kwa mwezi.
Ikumbukwe, umeme wa 10,000 unapata units 28.
MAPATO:
(Ukiwa huna mahindi)
Umeme wa 10,0000 = units 28= 28*1,000 = 28,000/=
(Faida 28,000-10,000=18,000)
Umeme wa 100,000, faida 180,000
etc etc.
Kwa kipindi cha miezi 15 niliyofanya kazi, nimetumia units 12,500 sawa na mapato ya sh 12,500,000/=
Hizi ni bei halisi na nimehusika fully mwenyewe kila hatua ya mradi huu mpaka sasa.
USHAURI:
Ukitaka kufungua mashine za kusaga na kukoboa, tafuta mtaji hata wa gunia 5 za kuanzia, maana wateja huenda mashine yenye mahindi, hivyo utauza MAHINDI, PUMBA na UNITS ZA UMEME kwa haraka.
Ikumbukwe, gunia 1 linatoa debe 3 za pumba, na kila debe ni 4, 000 ( bei ya sasa 2022 November)
Sina mtaji wa mahindi. Mahindi naletewa na watu/wateja, mm kwangu faida ni units za umeme zinavyopukutika.
Biashara sijaisajili, sina leseni bado.
Naombeni wazo la namna ya kuweza kukopesheka.
Shukrani Mkuu, nitafanyia kaziFunga hiyo mashine ina faida nzuri sana.
-Zingatia service ya oil
-Uwe na fundi mmoja wa kurekebisha ikiharibika
-ukubwa wa kinu uendane na wingi wa wateja
-Kuwa karibu na mashine ili uweze kupata kujua kwa lita ina uwezo wa kusaga kiasi gani na inaweza kuingiza sh ngapi
-Manunuzi ya mafuta fanya mwenyewe. Usikubali mfanyakazi wako anaehudumia wateja, huyohuyo akanunue mafuta yakiisha. UTAIBIWA
-Usikubali mafuta yaishe kabisa ndo ukanunue. Utawapa nafasi ya wateja kuanza kuongea ongea. Weka stoke ya kutosha ya mafuta. Itapunguza gharama za usafiri za kwenda kununua mafuta kila wakati.
Umeongea point ya msingi sana, serikali inapaswa kujua umeme ni miongoni mwa mahitaji ya msingi kwa watu. Hizo pesa inazoweka kkwenye halmashauri eti kukopesha watu kwa makundi ambazo ki msingi zinaliwa tu basi ingehakikisha inasambaza umeme kwenye kila kitongoji na kila mtaa, ingehakikisha kila mtazania anapata umeme, jambo hili lingeweza kuinua watu wengi sana ki uchumi kuliko serikali inavyo fikiria. Niliwahi kutaka kufanya biashara hii sehemu lakini TANESCO sitaacha kuwalaani kwa kuninyima umeme.Umeme ndio unaua biashara za watu na kuongeza umaskini kwenye jamii, watu wanajituma lakini serikali yenye monopoly ya umeme ndio shida zote zinaanzia hapo,hii serikali is a big let down na ndio chanzo cha umaskini nchini, pumbaf sana
Naomba unitafute unipe uzoefu!!Ndugu zangu, mwaka jana July 2021 nilinunua mashine ya kusaga na kukoboa na kuifunga Tanga mwezi wa Septemba, 2021.
Mchanganuo wa Vifaa:-
1. Mashine ya Kusaga
Kinu size 75 - 1,200,000
Mortor 30hp - 1,300,000
Starter(On/Off)- 300,000
Pulleys 2 - 100,000
Mikanda 3 - 15,000
2. Kinu cha Kukoboa
Kinu rollers 3 - 1,200,000
Mortor 30hp - 1,300,000
Pulleys 2 - 100,000
Switch - 300,000
Mikanda 3 - 45,000
Vifaa vingine vya umeme:-
1. Main Switch 3Phase - 190,000
2. Socket braker 100A- 60,000
3. Wires, taa, earthrod,clamps, switches - 150,000
Vifaa vya usimikaji mashine
1. Channel/Chasis cha chini (2)- 250,000
2. Cement mifuko 2 - 29,000
3. Mchanga ndoo 30 - 15,000
4. Guta la Kokoto - 30,000
5. Usafiri Guta ( 2,3&4) - 10,000
Ufundi:-
1. Umeme - 200,000
2. Ujenzi/Mechanical - kufitisha vinu chini - 150,000
Gharama ya kufunga umeme 3 phase (jumla) - 1,200,000
Kodi ya frame - 50,000 kwa mwezi.
Ikumbukwe, umeme wa 10,000 unapata units 28.
MAPATO:
(Ukiwa huna mahindi)
Umeme wa 10,0000 = units 28= 28*1,000 = 28,000/=
(Faida 28,000-10,000=18,000)
Umeme wa 100,000, faida 180,000
etc etc.
Kwa kipindi cha miezi 15 niliyofanya kazi, nimetumia units 12,500 sawa na mapato ya sh 12,500,000/=
Hizi ni bei halisi na nimehusika fully mwenyewe kila hatua ya mradi huu mpaka sasa.
USHAURI:
Ukitaka kufungua mashine za kusaga na kukoboa, tafuta mtaji hata wa gunia 5 za kuanzia, maana wateja huenda mashine yenye mahindi, hivyo utauza MAHINDI, PUMBA na UNITS ZA UMEME kwa haraka.
Ikumbukwe, gunia 1 linatoa debe 3 za pumba, na kila debe ni 4, 000 ( bei ya sasa 2022 November)
Sina mtaji wa mahindi. Mahindi naletewa na watu/wateja, mm kwangu faida ni units za umeme zinavyopukutika.
Biashara sijaisajili, sina leseni bado.
Naombeni wazo la namna ya kuweza kukopesheka.
0626063600 naomba unitafute bosiNdugu zangu, mwaka jana July 2021 nilinunua mashine ya kusaga na kukoboa na kuifunga Tanga mwezi wa Septemba, 2021.

Nimeishajenga jengo Ila bado sakafu kwa chiniNdugu zangu, mwaka jana July 2021 nilinunua mashine ya kusaga na kukoboa na kuifunga Tanga mwezi wa Septemba, 2021.
Mchanganuo wa Vifaa:-
1. Mashine ya Kusaga
Kinu size 75 - 1,200,000
Mortor 30hp - 1,300,000
Starter(On/Off)- 300,000
Pulleys 2 - 100,000
Mikanda 3 - 15,000
2. Kinu cha Kukoboa
Kinu rollers 3 - 1,200,000
Mortor 30hp - 1,300,000
Pulleys 2 - 100,000
Switch - 300,000
Mikanda 3 - 45,000
Vifaa vingine vya umeme:-
1. Main Switch 3Phase - 190,000
2. Socket braker 100A- 60,000
3. Wires, taa, earthrod,clamps, switches - 150,000
Vifaa vya usimikaji mashine
1. Channel/Chasis cha chini (2)- 250,000
2. Cement mifuko 2 - 29,000
3. Mchanga ndoo 30 - 15,000
4. Guta la Kokoto - 30,000
5. Usafiri Guta ( 2,3&4) - 10,000
Ufundi:-
1. Umeme - 200,000
2. Ujenzi/Mechanical - kufitisha vinu chini - 150,000
Gharama ya kufunga umeme 3 phase (jumla) - 1,200,000
Kodi ya frame - 50,000 kwa mwezi.
Ikumbukwe, umeme wa 10,000 unapata units 28.
MAPATO:
(Ukiwa huna mahindi)
Umeme wa 10,0000 = units 28= 28*1,000 = 28,000/=
(Faida 28,000-10,000=18,000)
Umeme wa 100,000, faida 180,000
etc etc.
Kwa kipindi cha miezi 15 niliyofanya kazi, nimetumia units 12,500 sawa na mapato ya sh 12,500,000/=
Hizi ni bei halisi na nimehusika fully mwenyewe kila hatua ya mradi huu mpaka sasa.
USHAURI:
Ukitaka kufungua mashine za kusaga na kukoboa, tafuta mtaji hata wa gunia 5 za kuanzia, maana wateja huenda mashine yenye mahindi, hivyo utauza MAHINDI, PUMBA na UNITS ZA UMEME kwa haraka.
Ikumbukwe, gunia 1 linatoa debe 3 za pumba, na kila debe ni 4, 000 ( bei ya sasa 2022 November)
Sina mtaji wa mahindi. Mahindi naletewa na watu/wateja, mm kwangu faida ni units za umeme zinavyopukutika.
Biashara sijaisajili, sina leseni bado.
Naombeni wazo la namna ya kuweza kukopesheka.
Inaitaji service nyingi sanaMashine ya diesel ukifunga huitaji mota koongozi .
Service nyingi inategemea na matunzo yako kiongozi. Ila baada ya miaka minne au mitano kutokana na matumizi yake, itahitaji major service.Inaitaji service nyingi sana
Kabisaaa[emoji120][emoji120][emoji120]Hii project ntakuja kuifanya ukiwa na mashine ya kusanga na kukoboa mahindi na mpunga ,ukawa na project ya kufuga nguruwe ili utumie pumba za mahindi na mpunga kutoka mashineni kwako lazima utoboe kimaisha