Biashara ya kutengeneza na kuuza, ndio itakayo timiza ndoto zako

Ukiingia kwenye hii biashara itakulazimu, kugharamia vitu vifuatavyo:-
  • Jengo​
  • Umeme​
  • Maji​
  • Mashine​
  • Malighafi​
  • Mishahara​
  • kodi mbali mbali​
  • Usambazaji​
Faraja yako, itakuwa:-
  • Mauzo
Hapa itakulazimu kutumia ujuzi kidogo uliofundishwa darasani, kuhusu 'cost of production' , 'cost of sale' n.k 😀
 
Uko sahihi ila ndani ya TZ kwa anayeanza kujitafuta namshauri aanze na uchuuzi. Huko mbeleni akiwa imara kifedha ndo aanze kutengeneza na kuuza. Pia kabla ya kutengeneza ajiulize kuhusu ujuzi wake, raw materials, na running costs zote. Kwa kifupi afanye feasibility study. Mimi mwaka 2018 nilitaka kushona Tshirts zangu niwe nauza nikakutana na kikwazo kikali cha raw materials. Yaani Fabrics tu zikawa bei ghali kiasi kwamba hadi umalize kushona Tshirt na kuweka bei tayari unakuwa huwezi kushindana sokoni na wale wanaoagiza China au India.
 
Ungeziongezea utofauti kidogo zisifanane na za nje, ungezipiga 'label' ya kuvutia; Kuna sehemu bia utanunua kwa 5000, na sehemu nyingine bia hiyo hiyo utanunua kwa 1500; muhimu ujue soko lako ni lipi.​
 
Mkuu kuongea ni rahisi sana ila ukiingia kwenye kufanya ndo utajua namaanisha nini. Wewe una theory nyingi
 
Unachoongea ni sahihi, inahitaji uvumilivu ili kufikia lengo; mi kuna baadhi ya bidhaa zangu ziko madukani zinaanzia elfu 20; muhimu utengeneze kitu chenye ubora na uipe 'label'
 
Kilimo ni kizuri kama kuna uhakika wa maji au mvua; au unaweza ukagawa sehemu, nyingine ikawa ranch ya mifugo kama mbuzi au kondoo.
Au ukaanzisha kampuni ya kununua mazao na kuyaongezea thamani; hii haiathiriwi na ukosefu wa mvua vs mkulima.​
Nyanda za Juu Kusini haijawahi feli mvua tangu kuumbwa Kwa Dunia hii.
 
Hili li nchi labda kuwa fisadi , kuna mifumo mibovu sana inayo discourage ujasiriamali
Crooks and corrupt politicians prospers in a corrupt system kama hii

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi, na mifumo inachukua miaka mingi kubadilika; inawezekana ata ikachukua miaka 50; je kwa sasa utafanyaje?
 
Back
Top Bottom