Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #21
Hasa kwenye uzalishaji uvumilivu unahitajika zaidi, kwa sababu utakuwa unalipa watu, huku mauzo hakuna.𝐮𝐯𝐮𝐦𝐢𝐥𝐢𝐯𝐮
Na ma vants na grants hizi pombe za buku buku za kukaanga afya za vijana masikiniJina
Sampuli za kina maisha makubwa, kisungura. Hizo bidhaa zina mzunguko mkubwa sana.Na ma vants na grants hizi pombe za buku buku za kukaanga afya za vijana masikini
Biashara yeyeto ya kuharibu afya za watu utajiri nje nje hazinaga hasaraSampuli za kina maisha makubwa, kisungura. Hizo bidhaa zina mzunguko mkubwa sana.
Haramu tamu.Bidhaa yeyote haramu hainaga hasara
Nachagua animation 😌Zipo nyingi sana:-
Viatu Mikanda Samani za ndani/ofisi i.e viti, meza, n.k Magari ya kuchezea watoto (kujiendesha) Mavazi Katuni (video) n.k
Leta vipindi tuuze nje 😀 , tutatue tatizo la dolaNachagua animation 😌
Uko sahihi ila ndani ya TZ kwa anayeanza kujitafuta namshauri aanze na uchuuzi. Huko mbeleni akiwa imara kifedha ndo aanze kutengeneza na kuuza. Pia kabla ya kutengeneza ajiulize kuhusu ujuzi wake, raw materials, na running costs zote. Kwa kifupi afanye feasibility study. Mimi mwaka 2018 nilitaka kushona Tshirts zangu niwe nauza nikakutana na kikwazo kikali cha raw materials. Yaani Fabrics tu zikawa bei ghali kiasi kwamba hadi umalize kushona Tshirt na kuweka bei tayari unakuwa huwezi kushindana sokoni na wale wanaoagiza China au India.
Kama haichafui mazingira, au afya ya walaji hakuna shida, muhimu ulipe vibali halali na kodi husika.Tatizo tukianzisha hawachelewi kutufungia
Na wanapiga hela kweliBiashara yeyeto ya kuharibu afya za watu utajiri nje nje hazinaga hasara
Mkuu kuongea ni rahisi sana ila ukiingia kwenye kufanya ndo utajua namaanisha nini. Wewe una theory nyingiUngeziongezea utofauti kidogo zisifanane na za nje, ungezipiga 'label' ya kuvutia; Kuna sehemu bia utanunua kwa 5000, na sehemu nyingine bia hiyo hiyo utanunua kwa 1500; muhimu ujue soko lako ni lipi.
Unachoongea ni sahihi, inahitaji uvumilivu ili kufikia lengo; mi kuna baadhi ya bidhaa zangu ziko madukani zinaanzia elfu 20; muhimu utengeneze kitu chenye ubora na uipe 'label'Mkuu kuongea ni rahisi sana ila ukiingia kwenye kufanya ndo utajua namaanisha nini. Wewe una theory nyingi
Nyanda za Juu Kusini haijawahi feli mvua tangu kuumbwa Kwa Dunia hii.Kilimo ni kizuri kama kuna uhakika wa maji au mvua; au unaweza ukagawa sehemu, nyingine ikawa ranch ya mifugo kama mbuzi au kondoo.
Au ukaanzisha kampuni ya kununua mazao na kuyaongezea thamani; hii haiathiriwi na ukosefu wa mvua vs mkulima.
Uko sahihi, na mifumo inachukua miaka mingi kubadilika; inawezekana ata ikachukua miaka 50; je kwa sasa utafanyaje?Hili li nchi labda kuwa fisadi , kuna mifumo mibovu sana inayo discourage ujasiriamali
Crooks and corrupt politicians prospers in a corrupt system kama hii
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
Sasa ni kwa nini huwa kuna upungufu wa chakula?Nyanda za Juu Kusini haijawahi feli mvua tangu kuumbwa Kwa Dunia hii.