Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
dah,ntafanyia kazi wazo lako,japo natishwa na gharama kubwa za material na umeme kwa hii nchi yetu.Tumia chuma na mbao
Strong gen....aisee jamaa anapiga pesa bidhaa zake ziko Hadi uku manzega,kigoma,singidaKinywaji gani hicho mkuu?
Kama nafasi ya kukopa inawezekana, fanya hivyoDaa acha nimeulizia china machine ya kutengeneza box za kupackaging bidhaa aisee FOB $ 70000
Mkuu Sasa mimtaji wangu m40 natafuta machine zakuzalisha kile kinacholingana na mtaji wangu...mfano wa paper bags,bamboo tooth stickKama nafasi ya kukopa inawezekana, fanya hivyo
Kwa sasa ni vizuri kuzalisha kile ambacho kinaendana na bajeti yako kwa sasa; kwa huko baadaye mambo yakiwa mazuri unaweza kuamia kwingineMkuu Sasa mimtaji wangu m40 natafuta machine zakuzalisha kile kinacholingana na mtaji wangu...mfano wa paper bags,bamboo tooth stick
Kwani wao wanafanyaje hao unaowasemea inamaana aliyons na Nike hawana viwanda vyakuzalisha waoBiashara ya viwanda ngumi, wew tengeneza brand yako,
Fanya kama wanavyofanya kina Ailyons, Nike, na wenzake,
Miliki lab tu, kutengeneza outsource,
Tatizo kwenye 'outsource' unakuwa huna tofauti na watu wanaoagiza mzigo china na kuja kuuza hapa; ingawa utakuwa umeweka 'lable' yako.Biashara ya viwanda ngumi, wew tengeneza brand yako,
Fanya kama wanavyofanya kina Ailyons, Nike, na wenzake,
Miliki lab tu, kutengeneza outsource,
Kama vitu Gani vyakuzalishaKwa sasa ni vizuri kuzalisha kile ambacho kinaendana na bajeti yako kwa sasa; kwa huko baadaye mambo yakiwa mazuri unaweza kuamia kwingine
Mfano, kwa sasa unazalisha nini??Kama vitu Gani vyakuzalisha
Biashara ya viwanda ukitaka kuijua ugumu wake waulize wale wa Arusha viwandani umeme ulipoanza kusumbua mwisho wa mwaka.Biashara ya viwanda ngumi, wew tengeneza brand yako,
Fanya kama wanavyofanya kina Ailyons, Nike, na wenzake,
Miliki lab tu, kutengeneza outsource,
Tukizungumzia biashara weka siasa pembeni kubali uhalisia hata kwa maumivu. Nilijua utapanick, niliishakwambia akili unazo tatizo tu huyo mtalii wako hutaki atajwe vibaya.Kweli nilibugi mno kurukia hiyo biashara bila kufikiria vizuri na kutafiti. Maelezo yako ni mazuri ila kwa bahati mbaya umeshindwa kabisa kuficha upumbavu wako hapo nilipo-bold.
Kama bangi, dawa za kulevya, sumu, nk😄😄Biashara yeyeto ya kuharibu afya za watu utajiri nje nje hazinaga hasara
Hapana, ukiweka brand yako ni tofauti, unaweza leo tengenezea china, kesho India, unakuwa umekwepa stress nyingi sanaTatizo kwenye 'outsource' unakuwa huna tofauti na watu wanaoagiza mzigo china na kuja kuuza hapa; ingawa utakuwa umeweka 'lable' yako.
Hapo 'core function' yako inakuwa inafanywa na wengine; hili ni tatizo. Ni bora uagize mali ghafi, uje ukamilishe mwenyewe ukiwa huku.
Sizalishi chochote nachuuzaMfano, kwa sasa unazalisha nini??
Safari moja uanzisha nyingine, muhimu ni malengoSizalishi chochote nachuuza
[emoji16]Gongo iliyosajiriwa