Biashara ya kutengeneza na kuuza, ndio itakayo timiza ndoto zako

Kilimo ni kizuri kama kuna uhakika wa maji au mvua; au unaweza ukagawa sehemu, nyingine ikawa ranch ya mifugo kama mbuzi au kondoo.
Au ukaanzisha kampuni ya kununua mazao na kuyaongezea thamani; hii haiathiriwi na ukosefu wa mvua vs mkulima.​
Hili ni wazo zuri sana, changamoto huwa inakuja kwenye ukusanyaji wa hayo mazao kutoka sehemu tofauti maana inahitaji uwe na stock ya kutosha kuhudumia kwa muda wa kipindi kirefu ndani ya mwaka.

Changamoto nyingine ni namna ya kupenya sokoni maana linapokuja swala la bidhaa za mazao ya chakula (mf mchele), waTz wengi wamezoea vitu local kuliko vile ambavyo vipo kwenye vifungashio tayari.
 
Huwa namtamania sana Super Loaf, mate wake umekuwa moja kati ya mikate bora sana jijini Dar, watu wa kati wengi wanainunua. Brand yake imekaa mahali pake tayari.
Changamoto ya hii biashara ni kuwatunza watu wa jikoni, ushindani huwa unakuwa mkubwa sana na wakiondoka tu dosari huanza kuonekana baada ya muda fulani.
 
Kuna haya magari ya kichina watoto wanakaa na kuendesha; unaweza kumtumia fundi wako wa uchomeleaji mkadizaini kitu kizuri cha muundo huo, na badaye kuuza.
Bahati nzuri kila kitu kinapatikana kwenye maduka ya wazawa hapa nchini.​
Hayo magari naweza pata picha au video yake??
 
kila mtu na bahati yake ndugu zanguni kila biashara inalipa mambo ya hii serikari ni toka enzi na mifumo ni hiyohiyo tu ukiiogopa huwez fanya kitu hata HUYO MULOKOZI ashafanya biashara kibao zakagoma we umefanya ngapi kama ela unayo wekeza huwezi jua
 
Mtaalamu shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…