Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

50m unaanzisha benki au kiosk.nadhani tuwe makini na hakika ya tukisemacho
 
Sio micro-financr zote ziko hvo, hayo uliyasema yanahusiana na informal microfinance (ambazo sio rasmi), ila formal microfinance instution inakuwa regulated na BOT

Si kweli mkuu,

Financial institution yoyote isiyochukua customer deposits haiwi regulated na BoT - BoT wamekuwa wakiweka database ya hizi microfinance tu - ila hazina reporting zozote zinazotakiwa kufanya BoT, wala ukaguzi unaofanywa na BoT kama unavyofanywa kwenye mabenki ya kawaida - pia license za microfinance hazitolewi na BoT - kumbuka tofauti kubwa ya microfinance na benki ni uchukuaji wa deposits tu - sasa unaweza ukawa umeona hivi vibenki vidogo vinavyojulikana kama Community Banks na vinakuwa regulated na BoT ukadhani ni microfinance.
 
Kama ni credit-based microfinance company hakuna reserve ya kuweka BOT na nimetaarifiwa kuwa unaweza kuanza hata na mtaji wa 10M
 
deposit-based microfinance zinakuwa regulated na BOT wakati credit-based microfinance haziwi-regulated by BOT.
 
deposit-based microfinance zinakuwa regulated na BOT wakati credit-based microfinance haziwi-regulated by BOT.

Mi nahitaji kuanza hii shughuli je kuna habari zaidi ulizopata juu ya microfinance?
 
Asante mkuu kwa update , bado Wizara ya viwanda wanatoa leseni ya microfinance manake nilisikia tetesi wamesitisha kwa muda .
 
Kwanza unatakiwa uwe na mtaji wa pesa. Pili inabidi uwe na roho ya chuma. Yani wakopaji wakiingia mitini, roho isikushituke. Then nenda kajisajili.
 
Kuanzisha na kuendesha microfinance ni suala mtambuka, kwa bahati mbaya hakuna sheria ya microfinance ila sera ipo. Hivyo microfinance huongozwa na sheria ya taasisi za fedha na sheria ya BOT.
Kuna hatua tatu kuu ili uweze kuwa na microfinance.
1. Kuisajili kama kampuni itakayokuwa na shughuli za kutoa mikopo
2. Kuisajili kampuni kama mlipa kodi (kupata TIN)
3. Kupata leseni wizara ya viwanda na biashara.
Kila hatua ina maelezo na technicalities zake nyingi.
Waone business consultant kama sisi (ANJOA COMPANY LIMITED) ambao tunatoa microfinance consultancy services.
wasiliana nasi kwa namba 0759-692024, Email: info@anjoa.co.tz au fika ofisini kwetu kinondoni manyanya -Dar es Salaam.
 
Naam onjoa wakuu nitapiga simu kesho mapema ili tuzungumze ktk simu kwanza ili tuanze haraka kwani nataka nisafiri lkn kwa hili NAHITAJI nifungue kwanza.
 
taarifa fupi kuhusu kuanzisha MICRO FINANCE COMPANY

1 MTAJI WA KUANZIA TSH 10M-50M
2 BRELA REGISTRATION NI TSH 400,000/-
3 TIN IT IS FREE
4 BUSINESS LICENCE FEE NI TSH 700,000/-
5 COMPUTER 2 AU 3 NA OFFICE TABLES AND CHAIRS
6 MTU MMOJA(MANAGER) MWENYE UZOEFU WA MICRO FINANCE
7 ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU AINA ZA MIKOPO NA RIBA ZAKE(mf;mkopo wa dharura, mikopo ya vikundi, mikopo ya wajasiriamali na mikopo ya wafanyakazi
8 MICRO FINANCE SYSTEM ITAKUKOSTI 2-3M TSH nk
 
Nipo hapa ktk jukwaa hili lakini nimefanikiwa sana nashukuru zaidi kwa mchango wako nami nitazingatia ...
NITATAFUTA MUDA WA KUTEMBELEA OFISI YENU KESHO MAPEMA ZAIDI/NASHUKURU....
 
SOME HIDEN PROFIT;
ukiwa na mtaji wa 10m kwa interest ya 12% kwa mwezi wa kwanza faida(interest) ni 1,200,000/- na rejesho(principal ni 1,666,700) jumla (2,870,000) na unaikopeshea kwa int ya 12%(ie 0.12*2.87M)! hence mwezi 2 unapata interest ile ya mtaji wa mwanzo(10m) plus hii ya rejesho la kwanza! hebu pigeni mahesabu mpaka mkopo wa miezi 6 uishe!

GOOD MORNING...........

by;Financial Service
 
SOME HIDEN PROFIT;
ukiwa na mtaji wa 10m kwa interest ya 12% kwa mwezi wa kwanza faida(interest) ni 1,200,000/- na rejesho(principal ni 1,666,700) jumla (2,870,000) na unaikopeshea kwa int ya 12%(ie 0.12*2.87M)! hence mwezi 2 unapata interest ile ya mtaji wa mwanzo(10m) plus hii ya rejesho la kwanza! hebu pigeni mahesabu mpaka mkopo wa miezi 6 uishe!

GOOD MORNING...........

by;Financial Service

Safi sana!

Zack Finance ni kampuni ama!
 
the dealer(JF GOLD MEMBER),

ZACK FINANCE ni micro finance company inatoa mikopo na kukusanya madeni pia tunatoa ushauri wa biashara! tupo BUNJU B, DAR ES SALAAM! email;zackfinancetz@gmail.com
 
Ushauri wako ni mzuri sana zack naam naamini nitapata msaada wa umiliki wa kampuni yangu,nashukuru nami nitakutafuta muda mfupi ujao
 
Back
Top Bottom