Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

the dealer(JF GOLD MEMBER),

ZACK FINANCE ni micro finance company inatoa mikopo na kukusanya madeni pia tunatoa ushauri wa biashara! tupo BUNJU B, DAR ES SALAAM! email;zackfinancetz@gmail.com

Hahahaha....zackfinance!

Baraka nyingi ziende kwa kyanaKyoMuhaya Japo siku hizi ameadimika sana!

Ahsante sana zackfinance, nimeekuelewa!
 
Last edited by a moderator:
good afternoon!
application-pdf.png
Business Plan for Starting a Microfinance Institution in Tanzania

by;Financial Service
 
Mimi binafsi nimefarijika sana kwani umeeleza maelezo kwa kina cha juu zaidi/nitakutafuta mkuu nami napatikana hapa boss-0657 740 797/nami nimefungua ila bado niko katika hatua za mwisho mwisho/ila nitakutafuta kwa elimu zaidi
 
UKIWA NA MICRO FINANCE BUSINESS unaweza kufanya kazi hizi!

1 KUTOA MIKOPO
2 KUKUSANYA MADENI(DEBT COLLECTION)
3 AGENCY BANKING
4 INTERNATIONAL MONEY TRANSFER(western union etc)
5 MOBILE PAYMENT(MPESA, TIGO PESA)
6 AKIBA ZA HIARI
7 BIMA YA BIASHARA KWA WATEJA
8 USHAURI WA BIASHARA
9 EVENT/SEMINARS ORGANISATION
10 FOREX EXCHANGE

www.zackfinancetz.blogspot.com
 
Asante mkuu inamaana hizi vicoba nazo starting capital ni ml 10 mbona huwa naona hawana kitu au nakosea
 
Wapendwa habari?

Naomba msaada jinsi ya kusajiri microfinance ili itambulike kisheria, naomba mnielekeze taratibu za kufanya ili nikamilishe hii ishu, ni kwamba tayari ni vitu vya awali kama TIN no, lessen bado sijarenew, jina la kampuni ila sijakamilisha taratibu brella n.k.

Ninachotaka ni maelekezo ya ni hatua zipi nifuate ili nikamilishe kupata usajiri.

Ni hayo tu, Karibuni.
 
Hello Apologise lady,
You can call me on 0719155195 i can help you get through it and Bank of Tanzania acredation.
Regards
Elly Mdagadzule
 
Brela unasajiri jina na ndo linaanza, we umeanzaje kukata tin na leseni umetumia jina gani? na wamelikubali TRA? labda kama ni jina lako hapo sawa hata brela usiende km ni jina lako
 
Brela unasajiri jina na ndo linaanza, we umeanzaje kukata tin na leseni umetumia jina gani? na wamelikubali TRA? labda kama ni jina lako hapo sawa hata brela usiende km ni jina lako


Tin no, ni utaumbulisho wa mlipa kodi tu, ivo ukiwa na tin no, ni hiyo hiyo unatumia kwa biashara yoyote, hivo tin nilikuwa nayo kitambo sana kwa biashara nyingine, ila lesseni ndio lazima nirenew huu mwaka mpya wa fedha, jina la biashara ni lazima likasajiliwe brella, ivo ninapochukua lesseni mpya ndio nitaenda na jina la kampuni kwa Afisa biashara then brella baada ya hapo ndio nataka muongozo.
 
Back
Top Bottom