Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI kiasi ganimataji sio mil 200.
Lengo ni kukopesha wafanyabiashara wadogo wadogo kabisa.. Naomba muongozo wako tafadhali.Nenda wizara ya viwanda na biashara na tshs laki sita ndio wanatoa leseni, pia nenda na credit policy, tin, memorundum and article of associationm kwa ushauri mwingine wa kitaalamu tuwasiliane, we are business and accounting consultancy.
According to BANKING AND FINANCE ACTmataji sio mil 200.
Nenda brela, andaa makadilio ya juu laki 5Ninafikiria kuanzisha micro finance kama ya SEDA, PRIDE na FINCA. Ninaomba kama kuna mtu yeyote anayejua mchakato wa kupata leseni anisaidie kunipa maelekezo.
Mchakato wa kampuni nimeshamaliza. Tatizo lilobaki ni leseni. Nimejaribu kutafuta website ya viwanda na biashara naona haipo hewani.
Naombeni muongozo.
ASANTENI
Labda mie ndo nimekosea, Je Mikopo midogo midogo inatakiwa iitweje kama micro finance inataka 800mil?According to BANKING AND FINANCE ACT
Section 9(1)
Microfinance companies shall be incorporated as Companies shall be incorporated as Co's ltd shares with minimum core of (800 HUNDREAD MILLION SHILLINGS) And (200 HUNDREAD MILLION SHILLINGS) In case of UNIT microfinance co's.
Sasa sijui unieleweshe nimekosea wapi mkuu.
NImeshaenda na kupata jina la kampuninenda brela, andaa makadilio ya juu laki 5
Naomba niweke sawa. Kama ni kampuni ya Microfinance ambayo itatoa mikopo midogo midogo bila kuchukua amana (deposits) za wateja unatakiwa upate leseni kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara kama alivyoshauri Idofi hapo juu na hakuna mtaji unaotakiwa kisheria.Lab
Labda mie ndo nimekosea, Je Mikopo midogo midogo inatakiwa iitweje kama micro finance inataka 800mil?
Asante kwa maelekezo mazuri, kwahiyo nimpaka niende Dar wizarani ama kuna utaratibu mwingine mf online?Naomba niweke sawa. Kama ni kampuni ya Microfinance ambayo itatoa mikopo midogo midogo bila kuchukua amana (deposits) za wateja unatakiwa upate leseni kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara kama alivyoshauri Idofi hapo juu na hakuna mtaji unaotakiwa kisheria. Just reasonable amount. Mfano wa kampuni hizi ni kama Pride, Millenium Microfinance, etc. zipo nyingi sana. Kama unataka kuchukua amana za wateja, hiyo itakuwa microfinance bank kama FINCA, EFC, Vision Fund na Hakika na mtaji wake kwa sasa ni bilioni tano na leseni inatolewa na Benki Kuu ya Tanzania. Kwa sasa kampuni kama hizi zipo nne tuu hapa Tanzania
Ndio inabidi uende Wizarani Dar ukiwa na hizo nyaraka zinazohitajika. Ni vema ukawapigia simu ili upate maelezo zaidi kabla ya kufunga safariAsante kwa maelekezo mazuri, kwahiyo nimpaka niende dar wizarani ama kuna utaratibu mwingine mf online?
Edita ellz oboto sanjuAsante kwa maelekezo mazuri, kwahiyo nimpaka niende dar wizarani ama kuna utaratibu mwingine mf online?
Naweza kupata na wasiliana yako maana naitaji ushauri wako na Masada nataka nifunguwe microfinance.Nenda wizara ya viwanda na biashara na tshs laki sita ndio wanatoa leseni, pia nenda na credit policy, tin, memorundum and article of associationm kwa ushauri mwingine wa kitaalamu tuwasiliane, we are business and accounting consultancy
Sorry Mkuu, Hivi M-PESA, Tigo Pesa and the Likes ni Microfinance au Micro-Credits ?Naomba niweke sawa. Kama ni kampuni ya Microfinance ambayo itatoa mikopo midogo midogo bila kuchukua amana (deposits) za wateja unatakiwa upate leseni kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara kama alivyoshauri Idofi hapo juu na hakuna mtaji unaotakiwa kisheria. Just reasonable amount. Mfano wa kampuni hizi ni kama Pride, Millenium Microfinance, etc. zipo nyingi sana. Kama unataka kuchukua amana za wateja, hiyo itakuwa microfinance bank kama FINCA, EFC, Vision Fund na Hakika na mtaji wake kwa sasa ni bilioni tano na leseni inatolewa na Benki Kuu ya Tanzania. Kwa sasa kampuni kama hizi zipo nne tuu hapa Tanzania
Micro creditLab
Labda mie ndo nimekosea, Je Mikopo midogo midogo inatakiwa iitweje kama micro finance inataka 800mil?
Plz need a talkNaomba tuwasiliane unaweza kujifunza kutoka kwetu ni PM simu yako ntakupigia