Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

Biashara ya Kutoa Mikopo (Microfinance): Hatua, Taratibu za Kufuata na Ushauri wa Uendeshaji

Hello Apologise lady,
You can call me on 0719155195 i can help you get through it and Bank of Tanzania acredation.
Regards
Elly Mdagadzule

Mimi nahitaji mwongozo tu, kila kitu nitakifanya mwenyewe, wewe nipe mwongozo ni wapi na wapi niende ili nifanikishe, kwa msaada tu, yaani bure kabisa, ushauri wako toa hapa hapa kama unapenda kusaidia wengine.
 
Wapendwa habari?

Naomba msaada jinsi ya kusajiri microfinance ili itambulike kisheria, naomba mnielekeze taratibu za kufanya ili nikamilishe hii ishu, ni kwamba tayari ni vitu vya awali kama TIN no, lessen bado sijarenew, jina la kampuni ila sijakamilisha taratibu brella n.k.

Ninachotaka ni maelekezo ya ni hatua zipi nifuate ili nikamilishe kupata usajiri.

Ni hayo tu, karibuni

Ukishakamilisha usajili wa kampuni yako Brela hatua inayofata ni kwenda wizara ya viwanda na biashara kufanya application ya microfinance.

Unapoenda hakikisha una vitu vifuatavyo:
1. Umejaza form ya application ambayo inapatikana katika website ya wizara ya viwanda na biashara
2. CV za directors wa kampuni
3. Passport size za directors wa kampuni
4. MEMARTS ya kampuni
5. Lending policy (naweza kukusaidia kuiandaa hii)
6. Certificate of incorporation
7. TIN number
8. Bank statement ya mwezi uliyopita

Baada ya kupeleka hapo wataipitia kwa muda wanaojua wao then application yako ikipita watakupigia simu utaenda kulipia laki sita na nusu kisha unapewa leseni. Hapo kwenye kusubiria bila kuwa na mtu wa kupush itakuchukuwa muda kupita maelezo, i know someone there can help you.

All the best Apologise lady
 
Last edited by a moderator:

Huo muda usiohulikana ndio unatengeneza mazingira ya rushwa and u have said una mtu wa kuweza kupush meaning unatengeneza mazingira ya rushwa pia ...anyway asante kwa mwongozo wako
 
Last edited by a moderator:
Bank statement iwe na kiasi gani angalau manak. Sidhani kama watakupa leseni kama una laki 2 za kujopesha watu , na hii benki statement iwe ya kampuni au ya mmoja wa hao directors
 
Ukishakamilisha usajili wa kampuni yako Brela hatua inayofata ni kwenda wizara ya viwanda na biashara kufanya application ya microfinance.

Unapoenda hakikisha una vitu vifuatavyo:
1. Umejaza form ya application ambayo inapatikana katika website ya wizara ya viwanda na biashara
2. CV za directors wa kampuni
3. Passport size za directors wa kampuni
4. MEMARTS ya kampuni
5. Lending policy (naweza kukusaidia kuiandaa hii)
6. Certificate of incorporation
7. TIN number
8. Bank statement ya mwezi uliyopita

Baada ya kupeleka hapo wataipitia kwa muda wanaojua wao then application yako ikipita watakupigia simu utaenda kulipia laki sita na nusu kisha unapewa leseni. Hapo kwenye kusubiria bila kuwa na mtu wa kupush itakuchukuwa muda kupita maelezo, i know someone there can help you.

All the best Apologise lady

Asante nimekuelewa, nitakupm namba yangu ili tuongee vema, maana nipo kijijini na hakuna network hivo jf siipati vema.
 
Bank statement iwe na kiasi gani angalau manak. Sidhani kama watakupa leseni kama una laki 2 za kujopesha watu , na hii benki statement iwe ya kampuni au ya mmoja wa hao directors

Kwasasa hakuna sheria ambayo imeweka kiasi cha mtaji kwa ajili ya credit only microfinance institutions. Kuna leseni zimetolewa kwa bank statements kuwa na balance ya laki tano hadi milioni moja. Apologise lady aandae docs kama alivyoshauri Mchunguzi Huru na kuzipeleka Wizara ya Viwanda na Biashara jengo la Water Front fl ya tatu
 
Habari yako ndugu.
Kama una ndoto hizo, onana na consultant wa masuala ya microfinance watakuelewesha kwa undani. kisha utaamua wewe ujipange vipi. Wengi wanajaribu kukupa mwanga kidogo lakini ni vyema ukatenga muda uonane na wataalam. Karibu Anjoa Co. Ltd tutakuhudumia. wasiliana nasi kwa namba 0759-692024 au 0688-510564.
Wapendwa habari?

Naomba msaada jinsi ya kusajiri microfinance ili itambulike kisheria, naomba mnielekeze taratibu za kufanya ili nikamilishe hii ishu, ni kwamba tayari ni vitu vya awali kama TIN no, lessen bado sijarenew, jina la kampuni ila sijakamilisha taratibu brella n.k.

Ninachotaka ni maelekezo ya ni hatua zipi nifuate ili nikamilishe kupata usajiri.

Ni hayo tu, Karibuni.
 
Asante hizo ni regulations kwa ajili ya deposit taking micrifinance banks ambazo zinakuwa licensed, regulated and supervised na BOT na kwasasa zipo tatu tuu ambazo ni FINCA, EFC na Vision Fund Tanzania iliyopo Arusha. May be next one will be Yetu Microfinance ambayo sasa hivi inauza hisa. Mtaji wa chini wa kuanzisha deposit taking microfinance ni TZS 5 billion. For credit only microfinance insts hakuna minimum capital what you need is just a license from the Ministry and no any regulator eg the Blue, Easy Finance, Pride, UTT microfinance, and many other small firms
 
Habari wana Jf,

Heshima kwenu wote na hongereni kwa michango na mawazo mazur ambayo mmekua mkitoa juu ya mada mbali mbali,
Mm nikijana nimemaliza degree ya biashara katiaka fedha (BCOM-FINANCE)

Nimekua na ndoto ya kuwa na microfinance institution toka nipo mwaka wa kwanza chuo, hvyo nikajipanga nimetafuta mtaji nimepata (japo sio mkubwa). Kinacho nisumbua kwa sasa ni uzoefu juu ya uendeshaji wa biashara hii, kwan elimu niliyo nayo ni ya nadharia (theoretical).

Nimetafuta sehem ya kufanya kazi japo kujitolea kwenye microfinance institution ili nipate uzoefu ila sijafanikisha.
Naomben msaada wenu, kwa mtu mwenye uzoefu juu ya hii biashara anisaidie kujibu maswar yafuatayo:

1. Usajiri
2. Riba na ulipaji wake (kwa mwezi, mwaka au wiki)
3. Maswala ya kisheria (defaulters)
4. Makundi ya wateja wasumbufu na wasio wasumbufu wakat wa ulipaji
5. Software ambayo inatumika kuhfadhi hizi transaction.
6. Kipengere chochote cha muhim nilichokisahau!

Maana nataka nianze bila uzoefu wowote, nimechoka kutembea na bahasha kutafuta sehemnya kujitolea.
Asanten, naomba kuwasilisha.
 
Mkuu, watafute Anjoa Co. Ltd, wanafanya microfinance consultancy. Wapo Dar, kinondoni. Email yao ni anjoa_limite@yahoo.com
Habari wana Jf,
Heshima kwenu wote na hongereni kwa michango na mawazo mazur ambayo mmekua mkitoa juu ya mada mbali mbali,
Mm nikijana nimemaliza degree ya biashara katiaka fedha (BCOM-FINANCE)

Nimekua na ndoto ya kuwa na micro finance institution toka nipo mwaka wa kwanza chuo, hvyo nikajipanga nimetafuta mtaji nimepata (japo sio mkubwa). Kinacho nisumbua kwa sasa ni uzoefu juu ya uendeshaji wa biashara hii, kwan elimu niliyo nayo ni ya natharia (theoretical).
Nimetafuta sehem ya kufanya kazi japo kujitolea kwenye microfinance institution ili nipate uzoefu ila sijafanikisha.
Naomben msaada wenu, kwa mtu mwenye uzoefu juu ya hii biashara anisaidie kujibu maswar yafuatayo:
1. Usajiri
2. Riba na ulipaji wake (kwa mwezi, mwaka au wiki)
3. Maswala ya kisheria (defaulters)
4. Makundi ya wateja wasumbufu na wasio wasumbufu wakat wa ulipaji
5. Software ambayo inatumika kuhfadhi hizi transaction.
6. Kipengere chochote cha muhim nilichokisahau!
Maana nataka nianze bila uzoefu wowote, nimechoka kutembea na bahasha kutafuta sehemnya kujitolea.
Asanten, naomba kuwasilisha.
 
Naomba tuwasiliane unaweza kujifunza kutoka kwetu ni PM simu yako ntakupigia
 
Mara ya mwisho nimefuatilia haya mambo kulikua na mvutano kati ya wizara ya viwanda na biashara na benki kuu juu ya usimamizi wa microfinance.

Ila nilipata kufika wizarani na masharti niliyopewa ni kwamba unatakiwa kuwa na benki statement ambayo inaonyesha uwezo wako wa kifedha kwa microfinance kwa kipindi kile niliambiwa uwe na si chini ya mil. 30 unatakiwa pia uwe na TIN na Certificate of incorporation.

Vile vile unatakiwa kuambatanisha CV za viongozi wa hiyo microfinance. Unajaza form ya maombi halafu unasubiri majibu maana si wote wanaoomba usajili wanapata.

Kila la kheri
 
Ninafikiria kuanzisha micro finance kama ya SEDA, PRIDE na FINCA. Ninaomba kama kuna mtu yeyote anayejua mchakato wa kupata leseni anisaidie kunipa maelekezo.

Mchakato wa kampuni nimeshamaliza. Tatizo lilobaki ni leseni. Nimejaribu kutafuta website ya viwanda na biashara naona haipo hewani.

Naombeni muongozo.

ASANTENI
 
Mtaji wa million 200 wa kuanzia unao mkuu?All the best chief
 
Back
Top Bottom