Afrolink-Tz Consult Ltd
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 424
- 950
Microcredit mtaji ni wowote? Siyo kweli, kuna kiwango kama sikosei ni mil 5 au 10 minimumMi ninavyoelewa ni kuwa kampuni ya microcredit mtaji wake ni wowote ila kwenye microfinance ndio mkubwa sana au sio...
Pili, ukiweka mtaji mdogo sana ina maana unajiwekea wigo wa kukopesha ndani ya mtaji huo tu. Mathalani umeweka mtaji wa laki 5, kumbuka hutakiwi kukopesha pesa uliyokopa (tofauti na microfinance). Ina maana pesa yako binafsi ni laki 5 hii ndiyo itumike kukopesha. Tambua vlvl unatakiwa kuandika Credit policy na taratibu zk ambazo utadadavua hadi masuala hayaMicrocredit mtaji ni wowote? Siyo kweli, kuna kiwango kama sikosei ni mil 5 au 10 minimum
Vipi kuhusu mtaji kiwango cha chini itatakiwa uanzie kiasi ganiwengine wanachukua leseni halmashauri , sio lazima huko wizarani....na mtaji wa kusajili kampuni Brela unaanzia elfu ishirini.
hata laki unaanza nayo... Usiwasikilize hao maconsultant watakupotosha tuVipi kuhusu mtaji kiwango cha chini itatakiwa uanzie kiasi gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata laki unaanza nayo... Usiwasikilize hao maconsultant watakupotosha tu
mtaji wowote hata laki unaanza nayoMicrocredit mtaji ni wowote? Siyo kweli, kuna kiwango kama sikosei ni mil 5 au 10 minimum
Mkuu ikiwa nitaanza na mtaji wa 6M kwenye Microcredit halafu napata source nyingi ya pesa may be kutoka kwenye Kilimo/mifugo na kuongeza mtaji kama 2M hapo siluhusiwi?Pili, ukiweka mtaji mdogo sana ina maana unajiwekea wigo wa kukopesha ndani ya mtaji huo tu. Mathalani umeweka mtaji wa laki 5, kumbuka hutakiwi kukopesha pesa uliyokopa (tofauti na microfinance). Ina maana pesa yako binafsi ni laki 5 hii ndiyo itumike kukopesha. Tambua vlvl unatakiwa kuandika Credit policy na taratibu zk ambazo utadadavua hadi masuala haya
Unaruhusiwa Mkuu kwa sababu ni hela yako kutoka ktk kianzio kingine cha mapatoMkuu ikiwa nitaanza na mtaji wa 6M kwenye Microcredit halafu napata source nyingi ya pesa may be kutoka kwenye Kilimo/mifugo na kuongeza mtaji kama 2M hapo siluhusiwi?
Mkuu kwani razima niambatanishe CV ya mtu aliye soma mambo ya fedha/uhasibu kama mm nikiwa nimesoma fani nyingine ila kwenye fani yangu nimesoma kozi nyigi za economic(macro and micro economics), production economic, entrepreneurship and so on siruhusiwe kupeleka CV yangu ili nipate kibali cha kampuni.pia nikiwa na mtaji Mdogo razima niajiri mfanyakazi? Kwani siwezi kufanya mm kama sole propretorship companyUnaruhusiwa Mkuu kwa sababu ni hela yako kutoka ktk kianzio kingine cha mapato
Ukija ktk upande wa MEMAT unaweza kuongeza mtaji na inasaidia vlvl kuongeza thamani/idadi ya shea kutegemeana na namna gani na unataka kuongeza thamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo mkuu ni lazima uwe na qualification hizo. Kuna jambo MOJA HAPA HALIELEWEKI, JAMANI HAYA MAELEZO SIO YANGU BALI NI YA SERIKALI. HUU NI MWONGOZO RASMI. Kupata maelezo haya nenda ofisi za BRELA-KITENGO CHA LESENI, JENGO LA USHIRIKA, GHOROFA YA TANO, MNAZI MMOJA, BARABARA YA LUMUMBA, ILALA CBD, DAR ES SALAAMMkuu kwani razima niambatanishe CV ya mtu aliye soma mambo ya fedha/uhasibu kama mm nikiwa nimesoma fani nyingine ila kwenye fani yangu nimesoma kozi nyigi za economic(macro and micro economics), production economic, entrepreneurship and so on siruhusiwe kupeleka CV yangu ili nipate kibali cha kampuni.pia nikiwa na mtaji Mdogo razima niajiri mfanyakazi? Kwani siwezi kufanya mm kama sole propretorship company
Mkuu HUU SI MWONGOZO WA CONSULTANT BALI MWONGOZO HUU NI WA SERIKALI. KAJIRIDHISHE MWENYEWE NENDA BRELA-KITENGO CHA LESENI, GHOROFA YA TANO, JENGO LA USHIRIKA, BARABARA YA LUMUMBA, MNAZI MMOJA, ILALA CBD, DAR ES SALAAM.Maelezo kibao yasiyo na kichwa wala miguu sijui ni ya kugoogle. Consultants hata hujawahi kusajili wa kuendesha kampuni ya fedha unatoa notisi za desa tu utafikiri ndio uhalisia.
- Watu wanaanza na mtaji hata wa Tsh 10,000 wanakuza mpaka inafika 5M wanaenda wizara ya viwanda na biashara + BRELA wanamaliza.
Wewe endelea kupiga DESA
Hata wewe peke yako unaweza ila kama washauri tunapenda watu wakue ndo maana inakuwa hivyo na ikiwezekana wafikirie kupunguza risk kwa kuwa mtu mmoja.Ndio maana utoaji leseni unaendana na kiwango cha mtaji wako ulionao. Mfano mimi mtaji wangu ni elfu ishirini nitaenda kuchukua leseni manispaa kwa sababu biashara yangu ni ndogo...wenye mitaji mikubwa hiyo milioni 500+ ndio wanaenda huko wizarani kuchukua leseni. Consultant nyie ndio kikwazo kikubwa cha watu kusajili kampuni, mkiombwa ushauri jinsi ya kufungua kampuni mnaorodhesha vitu vingi mara sijui Memorandum....mara Tax Clearance, Mara Board of Directors mpaka watu wanakata tamaaa. Ina maana mimi na mke wangu tumeishia darasa la saba wote hatuwezi kufungua kampuni?
Mh! Msuaso weweMkuu kwani razima niambatanishe CV ya mtu aliye soma mambo ya fedha/uhasibu kama mm nikiwa nimesoma fani nyingine ila kwenye fani yangu nimesoma kozi nyigi za economic(macro and micro economics), production economic, entrepreneurship and so on siruhusiwe kupeleka CV yangu ili nipate kibali cha kampuni.pia nikiwa na mtaji Mdogo razima niajiri mfanyakazi? Kwani siwezi kufanya mm kama sole propretorship company
Mkuu naona mnamponda mtoa mada wakati mnaongea lugha moja. Why are u so negative wakati yeye anazungumzia biashara rasmi wakati nyie mnazungumzia zile zisizo rasmi ambazo kurasimisha kwake ndio huo utaratibu alioutoa? Acheni bad attitude.Maelezo kibao yasiyo na kichwa wala miguu sijui ni ya kugoogle. Consultants hata hujawahi kusajili wa kuendesha kampuni ya fedha unatoa notisi za desa tu utafikiri ndio uhalisia.
- Watu wanaanza na mtaji hata wa Tsh 10,000 wanakuza mpaka inafika 5M wanaenda wizara ya viwanda na biashara + BRELA wanamaliza.
Wewe endelea kupiga DESA
Asante Mkuu kwa kuliona hili.Mkuu naona mnamponda mtoa mada wakati mnaongea lugha moja. Why are u so negative wakati yeye anazungumzia biashara rasmi wakati nyie mnazungumzia zile zisizo rasmi ambazo kurasimisha kwake ndio huo utaratibu alioutoa? Acheni bad attitude
Sent using Jamii Forums mobile app