Biashara ya kuuza dawa za kulevya inalipa sana haitokaa iishe duniani

Yes, it works.

It's scarcity makes it demanding and valuable.


Bila shaka Umeonja unga ndipo ukaandika madudu haya.

By the time it is scarce, valuable and demanded, do you imagine how many zombies due to the drugs you will have??---- you want to create a nation of drug Zombies.
 
Ukifuatilia nchi zenye idadi kubwa ya Wakatoliki ndizo zinaongoza kwa hiyo biashara Nchi kama Columbia, Bolivia, Peru, Mexico, Brazil Phillipines. Sijajua ni kwanini
 
Hichi kitu kilimfanya Trump afikirie kujenga ukuta kati ya mexico na marekani ila watu wakamuona chizi. Yani siku hizi wanasafirisha kupitia mashampoo nina wasiwasi bongo yanaingia mengi sana
 
Wauza unga wengi wanatoa sana misaada kwa jamii inayowazunguka na sehemu walizokulia so paroko wa kitaa chenu hawezi iukubania misa ukifa wakati kanisa ulijenga, na wanakijiji chenu wataachaje kukupenda wakati ulipeleka umeme, maji, ukajenga shule nk...

Pesa bwana kuikataa kazi sana hata kama inajulikana sio halali wachache sana wanaeza kataa pesa....
 
Alaumiwe aliyegundua unga..
 
Biashara ya vitengo hii... Marekani wanatumia taasisi zake za kimataifa kusafirisha hii drugs
Jamaa hajui Hilo sijui !!!

Biashara ya wakubwa wenye dunia yao hiyo na wao ndio wanawawezesha baadhi ya madrug dealer wakubwa but endapo wakitokea madrug dealer hao wakazingua C I A huwa wanawapoteza
 
Nilisoma pia kuhusu heroin..mwanzo ilitumika kama tiba
Kuna madawa flani ya kulevya yanatengenezwa kwa mchanganyiko wa chemical flan na sumu ya kuulia panya ni hatari sana hata watengenezaji wasipo yachanganya sawa wanaweza kufa kwasababu ya ule moshi
 
Can you please specify, the exact department conducts this illegal business..!! I work as the secret service, working on that will be one of dream fulfillment task..!
My PM is open, don’t be afraid






Kidding 😜
 
Bila Shaka hii ni DRUG INC hii sio ? Jamaa wanaonyeshaga kila kitu kuanzia kutengeneza dawa za kulevya kuzipakeji mpk kisafirishaa ni balaaaa
 
Kuna madawa flani ya kulevya yanatengenezwa kwa mchanganyiko wa chemical flan na sumu ya kuulia panya ni hatari sana hata watengenezaji wasipo yachanganya sawa wanaweza kufa kwasababu ya ule moshi
Kuna ectasy na meth "ice"
Meth inavuruga ubongo vibaya sana
Wengi waliyoivuta ubongo umearibika

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kuna ectasy na meth "ice"
Meth inavuruga ubongo vibaya sana
Wengi waliyoivuta ubongo umearibika

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ndiyo hiyo meth, niliona documentary ya kitengenezwa... ila binadamu wanapenda stim sana na kila siku watu wanatafuta jinsi ya kuvuta stim. Nakumbuka kitambo sana tukiwa wadogo tulikuwa tunavuta harufu ya petrol, kwenye tank la gari hatukujua kuwa ni stimu ila tulikuwa twashindana nani bingwa wa kuvuta, unavuta unahisi kichwa kinataka kufumuka.
 
Kuna mtu mmja wa karibu namjua alikuwa ana itumia alikuwa ana sniff sana
Ilimvuruga ubongo mpk alipata stroke
Hatari sana

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…