Biashara ya kuuza dawa za kulevya inalipa sana haitokaa iishe duniani

Biashara ya kuuza dawa za kulevya inalipa sana haitokaa iishe duniani

Uzuri na ubaya unakuwepo..ila..ubaya ukizidi uzuri Basi tunasema Hilo Jambo.baya na likifanyika linaleta matokeo hasi

Huo utumwaa ungekuwa Ni Sio mzuri Wala mbaya Mpaka leo wewe ungeuzwa ukalime kahawa huko Marekani..lakini.kwakuwa lilikua Ni baya ndio.maana lilipigwa Vita

Hakuna uzuri Wala ubaya..Kama usemavyo...Je Ukoloni ungekuwa Kama usemavyo watu wangekufa kupigania uhri wa nchi zao..

HILI neno.lako hakuna uzuri Wala ubaya ni perception TU...SIJUI UMELITOA WAPI?
Utumwa bado upo sema umekuwa modernized na kupewa jina lingine. Watu wanauzwa sema hayatumiki maneno ya kuuzwa

Ni perception tu, ndiyo maana kinachoweza kuwa kizuri kwako kinaweza kisiwe kizuri kwa mwingine. Ni kama mila na tamaduni tu, we unaweza ona mila na tamaduni flani za kishenzi mwingine akaona zinafaa.

Ndiyo maana uzuri na ubaya ni perception ya jamii husika.
 
Pia National Geographic wana documentaries zinazohusu haya madawa ya kulevya kila siku saa nne usiku (Drug Inc.). Kwa kweli hii ni vita ngumu sana kuja kuitokomeza ni kama haiwezekani.
Pia haohao saa 12 jioni wana documentaries inaonyesha namna wasafirishaji wa hayo madawa wanavyokamatwa katika viwanja vya ndege.
Mimi mpaka nikutane nazo Youtube siku hizi TV siangalii sana
 
Leo nilikuwa ninatazama documentary mpya kabisa ya DW imetoka mwezi huu ambapo mwandishi wa habari na camera man wake walizama columbia wakiwa na jeshi la kupambana na biashara za dawa za kulevya kuchukua matukio.

Kule ndipo zao linalimwa milimani na maporini, halafu huko huko linavunwa na kupeleka mahabara ziko huko huko porini. Yani majani 200kg ndiyo yanatoa 1kg cocaine. Likishazalishwa, linasafirishwa kama unga tu wa sembe mpaka town linauzwa kwa wadau ambao nao wanalipeleka mpaka Mexico. Yani 400kg za cocaine zikifika mexico zinauzwa dollar 8 milion yani zaidi ya billion 10 za kitz.

Sasa Mexico ndiyo shida, wao wanaifungua na kuifunga upya katika nusu kilo au 1kg, kwanza inatangualia aluminium foil, halafu wanamalizia na sole tape. Wakivusha 400kg kuingia Marekani inakuwa na thamani ya zaidi ya dollar milion 70, yani zaidi ya billion 150 za kibongo.

Documentary inaonyesha toka kitu kinatoka columbia kinaenda warehouse, kinatolewa warehouse kinapelekwa kwenye boat kwa ajili ya kuelekea Marekani. Hawa ma drug lord hawana mchezo, muda wote wana askari wana ma AK47 na majambia ukijichanganya tu umekwisha. Mwandishi wa habari na crew lake waliamua kuwapa tu exclusive arekodi kila kitu lakini sura zao wamezificha.

Akiwa na askari wa columbia walivamia shamba flani wakaua ring leader na walinzi wake kadhaa. Hii vita sidhani kama wanaweza kuishinda aisee. Jamaa wanatumia kila mbinu kama jeshi kuanzia kuwasiliana kwa codes, na vifaa vya hali ya juu.
Ukiangalia series ya El chappo utayaona yote hayo, drug lords ni kwere mzee
 
poda ita teketeza dunia kama moto ulivyo chakaza sodoma na gomora
 
Mkuu huna connection ya huko mashamban maana mishahara ya laki 5 sithan kama tajenga
 
Back
Top Bottom