Biashara ya kuuza dawa za kulevya inalipa sana haitokaa iishe duniani

Imezidi kdg
Ile hatari sana mzee
Hata heroine nayo ikiwa pure kbs ni mbaya sana
Ndomana kna manchi ukikamatwa na heroine kosa lake ni kubwa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
sema meth na cocaine zote stimulant wakati heroine ni depressant
 
Marehemu pablo escobar
Hata siyo Pablo, cocaine ipo kabla yake hadi mumies wa egypt kuna ambao wana mabaki ndani ya miili yao ya cocaine. Anyway ni kwamba Pablo alikaribishwa kwenye hiyo biashara akaitake to the next level baada ya kubuni njia ya kuingiza hizo dawa USA kwa mia za ma kg kwa wiki.
 
Jamaa hajui Hilo sijui !!!

Biashara ya wakubwa wenye dunia yao hiyo na wao ndio wanawawezesha baadhi ya madrug dealer wakubwa but endapo wakitokea madrug dealer hao wakazingua C I A huwa wanawapoteza
Hata mtoto wa Pablo escobar anasema kuwa baba yake aliwahi kukwambia kuwa anafanya kazi hiyo kwa msaada wa CIA na FBI. Sema ukifika mda wamekuchoka wanakushusha tu ndani ya madakika.
 
Hamna mwenye hati miliki ya msalaba, hata wewe tumia tu
 
Hata mtoto wa Pablo escobar anasema kuwa baba yake aliwahi kukwambia kuwa anafanya kazi hiyo kwa msaada wa CIA na FBI. Sema ukifika mda wamekuchoka wanakushusha tu ndani ya madakika.
Ewaaa hivyo ndio jinsi ambavyo mambo Huwa Yana kwenda ..wakikuchoka Wana Kutoa kafara
 
Mkuu iyo documentary inaitwaje nataka walau na mimi nikatazame youtube.
 
Uzuri na ubaya unakuwepo..ila..ubaya ukizidi uzuri Basi tunasema Hilo Jambo.baya na likifanyika linaleta matokeo hasi

Huo utumwaa ungekuwa Ni Sio mzuri Wala mbaya Mpaka leo wewe ungeuzwa ukalime kahawa huko Marekani..lakini.kwakuwa lilikua Ni baya ndio.maana lilipigwa Vita

Hakuna uzuri Wala ubaya..Kama usemavyo...Je Ukoloni ungekuwa Kama usemavyo watu wangekufa kupigania uhri wa nchi zao..

HILI neno.lako hakuna uzuri Wala ubaya ni perception TU...SIJUI UMELITOA WAPI?
 
Soon bangi itakuwa Kama tumbaku tu.
Wazee walivuta zamani na akili zilitulia tu
Hata tumbaku.ipo.legal.but wanasema Ni hatari kwa Afya... Naona hiyo bangi wataweka warning pia...uvute at your own risk..

Watu wanao.legalize HiVI vitu...wao wapo kimaslahi zaidi...wanaangalia mifuko.yao itatunaje..wanafadhili research ambazo zipo biased kufanikisha malengo yao.

Watu wanadhani eti Nia yao Ni njema TU....
vitu HiVI muangalie kwa jicho la tatu...sio KILA KITU MNAMEZA TU.
 
Mbona biashara ya silaha kutoka Marekani na Urusi zinazotumika kuua watu Africa hamuziiti biashara haramu?
Hapo ndiyo ujuwe kua Dunia inawenyewe, wengine tunaburuzwa tu! Watakuambia ukitaka kwenda kwao nenda Ubalozini kwao kaombe Visa,wakati wao wakitaka kuja kwenu visa wanapewa airport at arrivals!! The World is not fair!!
 
umoja wa mataifa utasema nini kuhusu mmea huo, bangi wamesema poa tu ilimwe kwa kutengeneza dawa,si ajabu huko mbeleni huo mmea wa cocain nao utaonekana uko freshi tu kwa kutengenezea dawa
Kwani Tanzania haustawi jamani?
 
Shida hata Kama havipo legal still vipo na upatikana kirahisi kwa wahitaji
 
Pia National Geographic wana documentaries zinazohusu haya madawa ya kulevya kila siku saa nne usiku (Drug Inc.). Kwa kweli hii ni vita ngumu sana kuja kuitokomeza ni kama haiwezekani.
Pia haohao saa 12 jioni wana documentaries inaonyesha namna wasafirishaji wa hayo madawa wanavyokamatwa katika viwanja vya ndege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…