HAPANA WALA SIJUIMkuu we unajua biashara ya mkaa ina mtaji wa shilingi ngapi?
Basi tulia mkuu chipsi kama kawa huku nataka nipige na mkaa wa jumla kama inawezekana.HAPANA WALA SIJUI
Nakucheck Mkuu.Inakataa nichek 0688393663
Wakuu mwenye kufahamu hizi biashara tafadhali zinavyofanyika
Ni moja kati ya biashara nzuri sana hujajua tu!!DA KWELI MAISHA MAGUMU KUTOKA CHIPS KULE UNAPOWAPATIAGA MADEMU WA KUSINI NA KWINGINEKO MPAKA BIASHARA YA MKAA?
Tumwagie ABC zake mkuuNi moja kati ya biashara nzuri sana hujajua tu!!
1. USAJILI/KIBALI CHA KUFANYA BIASHARA YA MKAA- TFSANaomba nijulishwe hapo kwenye biashara ya kuuza mkaa,
inaitaji vitu gani ili uweze kuifanya bila kusumbuliwa na maliasili,
Nia yangu ni kulangua mkaa kutoka vijini nakuja kuuza mjini.
Changamoto zake pia.
Cc Zero IQ.
Bei ya gunia kwa hapo njombe ni bei gani?Nafuatilia ingawa Mimi ni mchoma mkaa Njombe. Aliyetayari tunamtumia mikoa ya Dar na kwingineko. Mkaa wetu ni mzito na mzuri.
Tuki assume unaishiau unataka kufanyia wapi pemba?Habari wana JF
Naomba kujua biashara ya mkaa kwa wwnye uzoefu ikoje na faida zake. Nafikiria kuifanya
Mwongozo: faida yake ikoje kwa gunia
2. Shughuli nzima ya kuanzisha hii biashara ikoje nikiwa na maana ya sehemu ya kuupatia, na usafirishaji wake ulivyo
Biashara ya gas ni investment nzuri sana kutokana na location. Ulinzi ni muhimu sana. Je unapatikana wapi?