Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

Wale walionipm nimewatumia no. Tuwasiliane zaidi maana nasafirisha pia.
 
Jamani wale wanaohitaji niwe nawasupply mkaa kutokea Njombe tuwasiliane pm. Hua nasafirisha kutokea Njombe kuja DAR.
 
Upo wapi mkuu yaani unapotaka kufanyia hiyo biashara ya mkaa na unatarajia uuchukulie wapi
 
Naomba nijulishwe hapo kwenye biashara ya kuuza mkaa,

inaitaji vitu gani ili uweze kuifanya bila kusumbuliwa na maliasili,

Nia yangu ni kulangua mkaa kutoka vijini nakuja kuuza mjini.

Changamoto zake pia.

Cc Zero IQ.
1. USAJILI/KIBALI CHA KUFANYA BIASHARA YA MKAA- TFSA
2. LESENI YA BIASHARA/HALMASHAURI
3. TIN NO
4. MAPATO TRA
 
Habari wana JF
Naomba kujua biashara ya mkaa kwa wwnye uzoefu ikoje na faida zake. Nafikiria kuifanya
Mwongozo: faida yake ikoje kwa gunia
2. Shughuli nzima ya kuanzisha hii biashara ikoje nikiwa na maana ya sehemu ya kuupatia, na usafirishaji wake ulivyo
 
Tuki assume unaishiau unataka kufanyia wapi pemba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkaa mwingi unapatikana Manyara, Tabora na shinyanga. Watembelee wafanya biashara wakubwa eneo lako kwanza utajifunza mengi ukishawaelewa ABC zake na ukiwa tayari nitafute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom