mtimkav
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,034
- 662
Biashara hii ni ya msimu mana unaweza kulitoa gunia porini kwa gharama ya elf30 alafu sokoni ukakuta majanga
Then kua tayari kukabiliana na madalali kama mtaji ni mdogo mana utakumbanana vikwazo kibao sehemu ya kushushia
Kwa ushauri tu kama mtaji mdogo stay away fanya mengine tu mana utateseka mpaka uone dunia chungu
mwisho fanya study ya mahali pa kufungulia hiyo stoo ucje ukapoteza mda na vilevile kua makini na ujazo wa gunia mana kama kichwa kidogo basi ni rahisi kupata faida ndogo kwa rejareja
Mda wa kufanya ni wakati wakulima wanavuna na c mda wa shamba mana wa kuchoma tanuru hutampata na utalazimika kufata gunia porin badala ya kulikuta barabarani na gharama itaongezeka mana itakulazimu usombe kwa boda boda
Ni hayo tu