Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

Biashara hii ni ya msimu mana unaweza kulitoa gunia porini kwa gharama ya elf30 alafu sokoni ukakuta majanga

Then kua tayari kukabiliana na madalali kama mtaji ni mdogo mana utakumbanana vikwazo kibao sehemu ya kushushia

Kwa ushauri tu kama mtaji mdogo stay away fanya mengine tu mana utateseka mpaka uone dunia chungu

mwisho fanya study ya mahali pa kufungulia hiyo stoo ucje ukapoteza mda na vilevile kua makini na ujazo wa gunia mana kama kichwa kidogo basi ni rahisi kupata faida ndogo kwa rejareja

Mda wa kufanya ni wakati wakulima wanavuna na c mda wa shamba mana wa kuchoma tanuru hutampata na utalazimika kufata gunia porin badala ya kulikuta barabarani na gharama itaongezeka mana itakulazimu usombe kwa boda boda

Ni hayo tu
 
nimefanya hii biashara ni majanga matupu..hata mtaji nimeshindwa kurudisha!!
 
Mkuu salaam!
Niliwahi kufanya hii biashara ikafika wakati nikaacha na kujaribu ya Mbao.
Utaratibu uko hivi:
1. Hakikisha unajua ni wapi utauzia mkaa wako.
2. Utatakiwa kufanya usajili (registration) tsh 261000 ktk ofisi ya wilaya unayouzia. Usajili huu utakuwezesha kukusanya mkaa halali popote pale tz na kupeleka site kwako.
3. Hakikisha mkaa wako ni halali mf. Umekata leseni ya kuchoma mkaa au unanunua kwa watu binafsi ambao watatakiwa kuwa wamelipia ushuru (tsh14,400/90kg).
4. Ukiwa navyo hivyo vitu utatakiwa kupewa kibali cha kusafirishia (TP) na ofisi ya wilaya ulipo mkaa wako (tsh 6500) kwa kila gari kwa trip moja.

aisée nashukuru kwa kunipa mwongozo
 
duh gharama imesimama haki ya nani!! Inabidi nijipange vizuri
 
Sifahamu uko wapi, ila ukivizia hawa wa malorry wanaoenda hata nje ya dar tu utapata wa bei rahisi ila siop mwingi. Ukiwapata wawili watatu kwa wiki stoo haitakauka. IIa uuze rejareja jumla sidhani utapata faida. Stoo kama za gunia zisizozidi ishirini mitaani huku kuna maliasili anakagua? Sidhani, ila ukitaka huo wa jumla ndo utakutana nao. Kila la heri
 
Biashara ya mkaa inaendana na maeneo fulanifulani,kuna maeneo mengine ukisema huanzishe biashara hii ni majanga matupu lakini maeneo mengine kam lindi/mtwara inalipa na inaweza ikakutoa kwa muda mfupi.
 
kuuzia masaki italipa mkuu?
 
Habarini?

Ninaomba kuifaham hii biashara nina mpango wa kufungua stoo ya mkaa nimuweke mtu aniuzie kwa jumla na rejareja.

Naomba kufahamishwa kwa mwenye ujuzi na hili itanigharimu shilingi ngapi hadi kufanikisha hili?

Na je zipi changamoto kubwa nitakazo kabiliana nazo?

Nawasilisha.

Asanteni.

Think BIG!!!!!!!!!!!!!!!!
Leo nimesikia jamaa wa Rwanda wanaotengeneza mkaa kutokana na taka.Naomba explore more on this kuliko hii ya malori ya mkaa yanayoanguka na kusababisha ajali kila kukicha.
 
Ukifungua ofisi tuwasilianee nina msitu nategemeea kuufyeka soon
 
Think BIG!!!!!!!!!!!!!!!!Leo nimesikia jamaa wa Rwanda wanaotengeneza mkaa kutokana na taka.Naomba explore more on this kuliko hii ya malori ya mkaa yanayoanguka na kusababisha ajali kila kukicha.
wazo zuri
 
Mkuu salaam!
Niliwahi kufanya hii biashara ikafika wakati nikaacha na kujaribu ya Mbao.
Utaratibu uko hivi:
1. Hakikisha unajua ni wapi utauzia mkaa wako.
2. Utatakiwa kufanya usajili (registration) tsh 261000 ktk ofisi ya wilaya unayouzia. Usajili huu utakuwezesha kukusanya mkaa halali popote pale tz na kupeleka site kwako.
3. Hakikisha mkaa wako ni halali mf. Umekata leseni ya kuchoma mkaa au unanunua kwa watu binafsi ambao watatakiwa kuwa wamelipia ushuru (tsh14,400/90kg).
4. Ukiwa navyo hivyo vitu utatakiwa kupewa kibali cha kusafirishia (TP) na ofisi ya wilaya ulipo mkaa wako (tsh 6500) kwa kila gari kwa trip moja.

Umesahau kumtajia ushuru wa halmashauri sh.1000 kwa gunia,pia ushuru wa upandaji miti 5% ya ushuru wa s/k.
 
Back
Top Bottom