SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Scandinavia hakua na huduma? Kiko wapi?Biashara ya mabasi ni huduma siyo uchawi
Acha kuwa na mawazo mgando kama tulia akson mwansau
Mkuu achana na hizi fikra kongwe za kutafuta visingizio visivyo eleweka. Siri ya biasharaHii Njia usipojidhatiti lazima uangukie pua kama wafuatao,
1. Ndenjela,
2. Ilasi,
3. Sauli,
4. Matema,
5. Rungwe,
6. Scandinavia,
Scandinavia hakwenda na wakati?Mkuu achana na hizi fikra kongwe za kutafuta visingizio visivyo eleweka. Siri ya biashara
Kujifunza kila siku kutoka kwenye changamoto na mafanikio ya biashara yako na kuchukua hatua za marekebisho bila kuchelewa.
Nenda ba wakati na tumia mbinu na teknologia ya Leo sio ya kale.
Kazi yako au biashara itatue matatizo ya wateja wako
Simuungi mkono lakini Ndenjela na Scandinavia walikuwa na vyote ulivyotaja, labda issue zinzweza kuwa management kwa upande mwingineMkuu achana na hizi fikra kongwe za kutafuta visingizio visivyo eleweka. Siri ya biashara
Kujifunza kila siku kutoka kwenye changamoto na mafanikio ya biashara yako na kuchukua hatua za marekebisho bila kuchelewa.
Nenda ba wakati na tumia mbinu na teknologia ya Leo sio ya kale.
Kazi yako au biashara itatue matatizo ya wateja wako
Hiyo njia Jau sana. Kupulizana kwa sanaSimuungi mkono lakini Ndenjela na Scandinavia walikuwa na vyote ulivyotaja, labda issue zinzweza kuwa management kwa upande mwingine