Biashara ya madawa ya kulevya chini ya uongozi wa Samia

Mambo mengine ukitaka evidence utakesha kupata majibu kuna vitu viko wazi kabisa
Tatizo risk taker kwa mambo ya msingi ni almost 0.0099999.
Gossiping sometimes can be a gospel..
Wengi wanafahamu kuwa Dawa za kulevya ni Kwa ajili ya kuvuta kama sigara au kujidunga....ni vizuri mamlaka husika zikafanya utafiti wa matumizi zaidi ya dawa hizo..
 
Kwani anaye ongoza nchi kwasasa ni Samia au Kikwete?!

Tuwe wakweli tu!!

Nani aliye nyuma ya Samia?!

Tuko kwenye awamu ya nne part two!!

Samia yuko kama hayuko! Hana meno Wala neno!
 
Wauza madawa wameibuka upyaaa kwa kasi na nguvu mpya tutarajie ONGEZEKO KUBWA la MATEJA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Wasanii gani mkuu? Kwanini usiweke vitu wazi na wakati hapa ni “JF where we dare to talk openly?” Weka majina hata na huyo wa huko Ununio. Kama hauifahamu JF ni bora ufanye utafiti uone kama kuna mtu anamuacha nyani giladi salama mchana kweupe.

Halafu umesema “kuanzia alfajiri hadi asubuhi “, je ulimaanisha kuanzia alasiri hadi asubuhi/alfajiri?
 
Hakuna Rais hapa ni bomu Tena la kienyeji
 
Samia ni janga la taifa,ukisema watu wake utasikia amefungua nchi kumbe amefungulia wizi mtupu.Ee Mungu tusaidie.
Watu wake sio aggressive


Genge ambalo lipo aggressive ni la Msoga na Magu.

Achague kati ya hayo mawili.
 
Hii laana itawavaa wote waliokuwa wanamsema yule mzee kuwa ameibana inchi ana roho mbaya. Hii laana ni juu yao.

Miaka 20 ijayo hili taifa litakuwa na watu wa hovyo sana.
 
Hizi fikra potofu za kila kitu Rais zinalemaza jamii na taifa kwa ujumla.
Ni lazima kila mtumishi wa Uma na wananchi kwa ujumla wao watimize majukumu yao.
Haiwezekani afe Magufuli peke yake, serikali na watumishi ni wale wale halafu tuambizane mambo ya kipumbavu kama haya.
Ina maana huko serikalini kuna watu wenye akili za ng'ombe, kondoo, mbuzi, kuku,... wa kuburuzwa tu?
Wananchi wajengwe kifikra chanya wakijua wajibu, mchango, majukumu na haki yao badala ya kila kitu Rais, Rais, Rais.
Hata hivyo, huu ulemavu wa fikra unakuzwa zaidi na viongozi kutaja Rais kila jambo badala ya serikali (hali hii haijengi, kwani wananchi wote wanajua serikali ni ya Rais). Kujikomba sana ndiko kunakosababisha haya.
 
Tumekamata tani 3 ,kazi zinafanyika tatizo watu wa documentaries hawaweki Mazuri ya SSH.
 
Kizazi chake kimeshakuwa kikubwa ndio maana ana piga misere
 
I think SSH is doing her absolutely best ila anakosa sauti ya ya mamlaka.
Upo sahihi ila hiyo sauti ya kimamlaka ndiyo yanaleta haya matatizo yote.
 
watu wakitumia madawa we inakuhusu nini? acha ujinga
Ungeenda na gerezani,ukawaambie hata wale askari magereza wawaachie wahalifu wote,uwaambie(hao askari),kama hawa(wafungwa),walifanya uhalifu,si muwaachie tu,nyie yanawahusu nini?
Utasifika kinoma,dadeki,ukitoka hapo nenda na mahakamani pia,kanene hivyohivyo kwa majaji na mahakimu.Utatisha sana,nakuaminia,una akili nyingi sana... fanya namna hiyo.
 
Hili ni kweli kabisa. Hata Madale wamejazana wauza unga kwa sasa.
 
Navyofahamu mimi vijana Ulaya walifanya party siku aliyotawazwa Magufuli kwa sababu Jakaya Kikwete alikuwa anazuia drugs kwenda kule na kuzifanya ziwe ghali kwao.
Kwa maana Magufuli ndio amewapelekea drugs.
In fact State Department website ilikuws inasema kwamba Magufuli State House ilikuwa inafanya minimum effort kuzuia drugs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…