Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Mmojawapo wa viongozi dhaifu kabisa kuwahi kutokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmojawapo wa viongozi dhaifu kabisa kuwahi kutokea
Hili ni kweli kabisa. Hata Madale wamejazana wauza unga kwa sasa.
Ndiyo maana simshauri mtu kutoa taarifa direct kwa vyombo vya usalama juu hawa watu. Kwa sababu ni watu wao na wanataarifa tayari.Madawa ya kulevya ni biashara ya vigogo wa serikali, ndio maana ukiwa muuzaji mpya usiye na hisa ndani ya mfumo watakutafuta mpaka wa kudake na kukupa adhabu kali, ili iwe mfano kwa wengine kwa wewe. Ila ukiwa agent wao, hata ukiuza pale feri getini, huto uluzwa.
Wavutaji, wanawafahamu wauzaji, lakini utashangaa ilivyongumu kwa biashara hii kukomeshwa.
Ukilalamika na serikali wanalalamika.
Mfano, watu wanatekwa, wanapotea, wana uwawa, wewe mwananchi unalalamika, na serikali inalalamika, unadhani muhusika ni nani?
Hao ni mawakala wao, kama unavyoona mawakala wa ice cream za Azam. Au mawakala wa serengeti breweries.Ndiyo maana simshauri mtu kutoa taarifa direct kwa vyombo vya usalama juu hawa watu. Kwa sababu ni watu wao na wanataarifa tayari.
Aah, eeh MUNGU !sio madawa ya kulevya peke yake, awamu hii hata ufisadi umerejea rasmi..zile enzi za 'unanijua mm ni nani?!'.
Ni huzuni.
sio madawa ya kulevya peke yake, awamu hii hata ufisadi umerejea rasmi..zile enzi za 'unanijua mm ni nani?!'.
Ni huzuni.
Samia ni janga la taifa,ukisema watu wake utasikia amefungua nchi kumbe amefungulia wizi mtupu.Ee Mungu tusaidie.
Hakuna muislam anaye weza kuongoza tanzania ikasonga mbele nasema hakuna, na hii ni kutokana na kwanza mazingira ya makuzi yao na jiografia yao hawa watakuwa wana haribu nchi wakristo wanakuja kutengeneza kwa hiyo tutajikuta miaka yote tupo palepale, napendekeza wakristo washike nchi miaka 30 mfululizo jalafu muone nchi itakavuo paa hii!Kuna wimbi la ongezeko la biashara na matumizi ya madawa ya kulevya toka Samia angie madarakani. Wanasiasa na wafanyabiashara wanajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya waziwazi. Vijana wanauza na kutumia madawa ya kulevya waziwazi. Miaka miwili ya Samia haina tofauti na miaka 10 ya utawala wa Kikwete. Ukosefu wa utawala wa sheria ndiyo sababu kuu iliyopelekea Magufuli kuchaguliwa kuwa Rais. Pesa haramu ndizo zinaendesha uchumi wa nchi yetu. Namba ya usajili wa mgari “D” ilikaa kwa miaka minne wakati wa Magufuli lakini namba “E” imeisha ndani yam waka mmoja wa Samia.
Kwa mfano, Bahari Beach ndiyo imekuwa makao makuu ya kuuza unga. Ukienda jengo la supermarket ya Jambo, utawakuta wasanii wote wanaoshiriki kwenye biashara za madawa ya kulevya wanacheza mziki, kuvuta madawa na bangi asubuhi mpaka alfajiri. Mwenye eneo hilo anajulikana kuwa mzungu wa unga (anaishi eneo la Kilimo Kwanza Ununio). Watu kama hawa wanalindwa na vyombo vya dola. Wanatoa michango kwa CMM kubaki salama. Mambo ya Tanzania yanakatisha tamaa.