Biashara ya madawa ya kulevya chini ya uongozi wa Samia

Madawa ya kulevya ni biashara ya vigogo wa serikali, ndio maana ukiwa muuzaji mpya usiye na hisa ndani ya mfumo watakutafuta mpaka wa kudake na kukupa adhabu kali, ili iwe mfano kwa wengine kama wewe. Ila ukiwa agent wao, hata ukiuza pale feri getini, huto ulizwa.

Wavutaji, wanawafahamu wauzaji, lakini utashangaa ilivyongumu kwa biashara hii kukomeshwa.

Ukilalamika na serikali wanalalamika.

Mfano, watu wanatekwa, wanapotea, wana uwawa, wewe mwananchi unalalamika, na serikali inalalamika, unadhani muhusika ni nani?
 
Ndiyo maana simshauri mtu kutoa taarifa direct kwa vyombo vya usalama juu hawa watu. Kwa sababu ni watu wao na wanataarifa tayari.
 
Ndiyo maana simshauri mtu kutoa taarifa direct kwa vyombo vya usalama juu hawa watu. Kwa sababu ni watu wao na wanataarifa tayari.
Hao ni mawakala wao, kama unavyoona mawakala wa ice cream za Azam. Au mawakala wa serengeti breweries.

Bidhaa feki ikiingia sokoni inaleta ushindani, wao ndio wakwanza kutoa taarifa serikalini. Kwasababu inaathiri mauzo yao.

Wanawafahamu walevi wao, na walevi wao wanawafahamu wauzaji wao. Hiyo chain ikikatika wanafahamu, uhitaji kutoa taarifa.

Cha mlevi huliwa na Mgema.
 
Samia ni janga la taifa,ukisema watu wake utasikia amefungua nchi kumbe amefungulia wizi mtupu.Ee Mungu tusaidie.

Hakuna muislam anaye weza kuongoza tanzania ikasonga mbele nasema hakuna, na hii ni kutokana na kwanza mazingira ya makuzi yao na jiografia yao hawa watakuwa wana haribu nchi wakristo wanakuja kutengeneza kwa hiyo tutajikuta miaka yote tupo palepale, napendekeza wakristo washike nchi miaka 30 mfululizo jalafu muone nchi itakavuo paa hii!

Rejea wakati wa nyerere?
Kaja mwinyi kaharibu
Wakati mkapa
Kaja kikwete kaharibu
Kaja magufuli
Kaja samia kaharibu kabisaa
Sasa inatakiwa aje mkristo aweke mambo sawa
 
Mpaka jogoo atakapo wika ndipo ubabii utatimia kwamba Peter amemkana Yesu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…