lynxeffect22
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 626
- 250
Mwandiko huu unanitia wasiwasi na naomba wachangiaji wanaojua kusoma miandiko watueleze kwani inaelekea mwandishi amejitambulisha kama Mohamed lkn mwandiko ni wa kike
Tena na hawa polisi wetu wanaongoja ushahidi wa kuletewa, ni balaajamaa amepata taabu kweli ya kuchonga mwandiko ili asijulikane, hii vita ni kubwa tuwe waangalifu sana, watu wasipokuona lakini Mungu anakuona. "TUMCHE MUNGU KWA DHATI YA MKUMCHA"
Acheni kuchafuana kwa sababu za kisiasa.No data no right to mention a name.Acheni kuwachafua wengine kwa ajili ya utashi wa mtu flani.Leteni proof za kueleweka.
Mwandiko huu unanitia wasiwasi na naomba wachangiaji wanaojua kusoma miandiko watueleze kwani inaelekea mwandishi amejitambulisha kama Mohamed lkn mwandiko ni wa kike
jamaa amepata taabu kweli ya kuchonga mwandiko ili asijulikane, hii vita ni kubwa tuwe waangalifu sana, watu wasipokuona lakini Mungu anakuona. "TUMCHE MUNGU KWA DHATI YA MKUMCHA"
Mama Rwakatale Getruda.!!!!??????