Biashara ya Madawa ya Kulevya: Wafungwa wa Kitanzania Hong Kong waendelea kufunguka

Wakiondoka kwenda huko HK wanaondoka na Meno ya tembo, na twiga hai wetu bora wasiende tu.
 
Barua fake

Lakini inakaribiana sana na ukweli, inawezekana mwandishi ni mtu mwenye mema na Tanzania. Hiatapita muda mrefu Tanzania itafutiwa status ya kutioingia na visa Hong Kong na Makao...ikipita miaka mitano ntashangaa sana.
 
Mimi sielewi kitu kimoja. Hivi kweli kuna watu wanadhani JK anaweza kupambana na biashara hii haramu? Tujiulize kitu kuwa ni katika kipindi kipi hapa Tanzania biashara hii ilishamiri zaidi ya kipindi hiki?
Kwakweli sioni utashi wa Serikali hii katika kuongoza mapambano kwenye vita hii. We rais una majina ya vigogo halafu hadi leo hatuoni chochote, unategemea nini?
 
Riziwani ndani ya nyumba...kumbe ndo maana babake mgumu kupinga biashara hii haramu, list anayo siku zote ameishikilia kumbe....Proud father
 
Hayo maandishi sio ya Mtanzania huyo ni Mchina aliyeandika hayo sisi watanzania hatuna hiyo miandiko na hizo herufi A za kwenye magazeti

Pengine wachina wameamua kuwa mouth piece yetu ili kusaidia kupunguza kasi ya punda kuku bali kuendelea na kubeba mizigo kupeleka kwao.... Wafanyeje kama tumeamua kukaa na maradhi yetu?
 
Masikini nchi yangu! Hivi tupo hopeless kiasi hiki?

Mungu wa Israel pigana na wanaopigana na ss, vita si vyetu ni vyako!

In the mighty name of Jesus christ huu ndiyo mwanzo wa mwisho mbuyu unakwenda kudondoka bila kutegemea! Lord you healed Dr Mwakyembe for a reason, it wasnt for vain. You had a plan! Inuka Bwana wa mabwana Mungu mwenye nguvu na uweza! Wao wana magari ya moto na vitu vyenye ncha kali, sisi tuna jina lako takatifu jina lipitalo majina yote!

Asante Bwana kwakusikia sauti yangu!

Amina!
 
hivi kwanini hawa wafungwa wa safari hii hawaandiki majina ya wahusika wakuu wazi wazi?.......hivi kweli tumelogwa hata tukiwa jela?.......
 
uliwahi kuicopy hiyo thread? nahamu niyasome hayo majina yote
 
hivi kwanini hawa wafungwa wa safari hii hawaandiki majina ya wahusika wakuu wazi wazi?.......hivi kweli tumelogwa hata tukiwa jela?.......

majina yalikuwepo katika barua ya mwisho kimetokea nini hadi yakakatwa sijui....
 
 
JamiiForums hatuoni
 
 
Dah hiki kipindi watu walijitoa sana akili
"About 67 people were arrested between May and July this year (in Hong Kong)....98% of the couriers flew directly from Tanzania to HK, and for most of them their final destination was China where drug trafficking is punishable by death."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…