grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
Wakiondoka kwenda huko HK wanaondoka na Meno ya tembo, na twiga hai wetu bora wasiende tu.Makoye,ni kweli kama ID yako ilivyo nasema makoye matale.hata hivyo sikuungi mkono kutuma polisisiemu waende huko HK kufanya uchunguzi,ni afadhali chombo huru kiundwe na ikibidi kihusishe na vyombo vya nje vyenye kuaminika,mimi siwaamibi polisisiemu hata kidogo,afterall na wao ni watuhumiwa.