Biashara ya madini ni kichaa. Kaka yangu kapoteza milioni 120 mwezi huu nimemkuta ameshaanza kudata

Wachimbaji wadogo wengi wanafanya kwa kubahatisha, hawafanyi utafiti.

Madini siyo maharage ambayo unapanda sehemu na kuyaona yanavyokua. Kwenye madini, unatafuta kitu ambacho hukuweka wewe wala rafiki yako. Hivyo hatua ya kwanza ni kufanya utafiti, siyo kuchimba. Unachimba baada ya kufanya utafiti, na kujua yako wapi,, kwa kiwango gani.
 
Inawezekana alichizika baada ya kupata milioni 120 nazo zikampelekea kuchizika zaidi.Msisingizie biashara ya madini.Mbona sisi tunafanya na bado tupo timamu na tumepoteza nyingi zaidi ya hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…