Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya madini nimeivulia kofia aisee kuanzia leoBiashara gani sio kichaa? Watu kila siku wanalia kuhusu kilimo, logistics, retailing nk. Biashara gani ina uhakika wa 100% ili kila mtu afanye?
Hatari sana mkuuBiashara ya madini ni kamari iliyochangamka
Madini ni technology tu mkuu, wenye mitambo yao mizuri hawabahatishi ni vipimo tu vinawaelekezaBahati nasibu
Na hasa uwe na utaalamu wa kutosha kuhusu madini!wengi wemecheka na huku wengine wanalia!Duuh inatakiwa bahati na juhudi hapo
Ni kujipanga tuu,na kama mwanadini ,omba sana Mungu wako akupe wepesi!Biashara gani sio kichaa? Watu kila siku wanalia kuhusu kilimo, logistics, retailing nk. Biashara gani ina uhakika wa 100% ili kila mtu afanye?
Na hasa uwe na utaalamu wa kutosha kuhusu madini!wengi wemecheka na huku wengine wanalia!
Kweli mkuu, sawa na kazi ya mafundi,ukimchukua injinia akujengee na umchukue fundi maiko akujengee, uhakika wa nyumba Yako ni injinia!Madini ni technology tu mkuu, wenye mitambo yao mizuri hawabahatishi ni vipimo tu vinawaelekeza
mkuu mbona unatutisha sisi tuonataka kuchimba mawe.Yaani maneno anayoongea nashindwa kumuelewa yaani kama kadata hivi kumbe uchizi ni rahisi sana kuupata
Inawezekana alichizika baada ya kupata milioni 120 nazo zikampelekea kuchizika zaidi.Msisingizie biashara ya madini.Mbona sisi tunafanya na bado tupo timamu na tumepoteza nyingi zaidi ya hizo?Aisee naandika huu Uzi nikiwa nimekuja kumtembelea kaka yangu hospital hapa Mbeya, aisee hii biashara sio ya kuingilia kichwa kichwa.
Huwezi amini nipo hospitali maana broo kama akili zishaanza kuwehuka, vitu anavyoongea havieleweki aisee, haamini kama kafukia milioni 120.
Nawashauri ndugu zangu wana jamiiforums hii sio biashara ya kufanya, ni kama inauchawi fulani hivi!
Ukweli Mkuu.utaalam Muhimu, Bahati baadae!Kwenye madini unahitaji utaalam, siyo bahati. Ukitegemea bahati, hata kama utabahatisha, lazima baadaye utalia.
Inategemea na mapokeo! Mwingine hata laki tuu,nyuzi zinafyatuka!Inawezekana alichizika baada ya kupata milioni 120 nazo zikampelekea kuchizika zaidi.Msisingizie biashara ya madini.Mbona sisi tunafanya na bado tupo timamu na tumepoteza nyingi zaidi ya hizo?
Kwahiyo Geita Gold na Barrick nao utumia ulozi??Lazima ujue ulozi!